Wakwanza kuwa na akaunti vevo ni kiba!?pia Umesema dai tangu awe na akaunti vevo hata miezi minne haifiki. Mkuu hivi ile Mary you ya neyo ilitoka lini. Nina waswasi na ufuatiliaji wako wa mambo.kichwa chako kigumu sana mtu wangu.
umeshaambiwa ina wezekana kwenye free account. kiba na mond wa kwanza kuingia vivo ni kiba dai hana hata miezi4 tangu afungue account huko.... usasahau mapovu aliyoyatoa siku kiba anatangaza vevo yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
