Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Mkuu hukuiona ile kampeni ya Mdada wa Insta ameanzisha seduceme challenge. Hilo sio la kushangaa. Ila kipindi Fulani nilimsikia omy kuwa views zinanunuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauwezi kununua views kwenye Official Account ya Youtube VEVO. Hiyo inawezekana kwenye free YouTube accounts tu. Kwenye Official YouTube VEVO kuna security access ambazo haziwezi kuruhusu computer generated (robotic) views, kule ni mwendo wa IP address moja counts 1 view, huko zote ni real views tu. Kumbuka kuna payment anapata kwa kila idadi fulani ya views, hawawezi kukubali false views, coz zingewafilisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikijaribu kuupa kura ya huruma nashindwa.Hongera zao
 
Kampeni ya huu wimbo sijapata kuona! Kwa nini usiachwe ujiuze wenyewe kama Aje , maana ile ya Mange ni zaid ya Kampeni
Hahaha, achana na yule dada! Team ya diamond kwa mange hawapumui kabisaaaa wanakuja huku kulalamika ila wananyoooshwa sawasawa. Saivi mange ni queen wa Instagram maana anajua kuwaendesha sio kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom