Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Mh sina timu ila aisee...hapa timu ndo imefanya wimbo wake ukapendwa!

Huu wimbo on a normal day is the worst song he has ever released! Alitaka kuiga majuu (singing of being a player nadhani) lakini idea imegoma...vina hauna, mizani hauna..

anyway...
 
Duh! Kwa kweli hata mimi naona maluwe luwe! Seduce me = nitongoze (kwa kizungu changu cha la saba) ila sasa yaliyoimbwa ndani sijui wananiita kipusa, sijui mambo gani tena.... Naomba msaada vizuri wadau. Lengo nami nijue wimbo hasa u nahusu nini. Asanteni

Hate me at your own risk
Ukitaka vina na mizani pitia mashairi ya wahenga

Music industry ipo kibiashara zaidi
 
Hit Song ya Alikiba iitwayo Seduce Me, imefikisha views 1m, usiku huu na yawezekana ikawa nyimbo ya kwanza ya Bongo flavour Tanzania kufikisha views 1M ndani ya siku 2 na masaa kadhaa.

Nini maoni yako kama mdau wa mziki?


Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona ni 1 day sio 2 days na masaa
f4f458d9619b684a3c32ef9f6facfaec.jpg
 
Daah hii itamtia simanzi D na timu yake ya wcb
 
Back
Top Bottom