Kibuyu Kazi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2017
- 303
- 90
Hilo tunalijua ila nisilolijua niMange ant-mond hakuna acejua ila pia Seduce me ni kali sana
NOT TO THIS EXTENT
Kweli tupuUtashangaa asilimia kubwa waliochangia hiyo video kuwa na views nyingi ni mashabik wa diamond...
Siku mbili hazijatimia ni masaa 38 mkuuHit Song ya Alikiba iitwayo Seduce Me, imefikisha views 1m, usiku huu na yawezekana ikawa nyimbo ya kwanza ya Bongo flavour Tanzania kufikisha views 1M ndani ya siku 2 na masaa kadhaa.
Nini maoni yako kama mdau wa mziki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kila viewers 1000 malipo ni dola 2 mpaka 5....Naomba kujuzwa malipo kwa viewers I. E kwa VEVO wakfka 1m mshko wao ukoje mleta mada
Kama wewe umeuona mzuri mimi ni nani hata niuone mbaya?Nimesikiliza huu wimbo jana nikauelewa... Level nyingine kabisaa
hata mimi sielewi ila tu naona wimbo mzuri sawa ila naona bunduki naina pesa ujumbe wa wimbo sielewi nimejaribu kwend mali zaidi naona kam anamtisha mshindani wake kwa bundukiSamahani wataalamu wa mziki napenda kujua wimbo wa Ali kiba unahusu nini maana kilichoimbwa ndani bado sijaelewa wimbo unahusu nini sio kwamba nauchukia hapana ninachotaka kujua ni nn kaimba mle ndan mana kila nikisikia ata siuelewi
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app