Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Gavana Joh basi atakuwa ni chizi sana na wala asingelikuwa anagombea u gavana...Kwanza unahitaji kuwa na mtindio wa ubongo kuamini mwenye akili timamu anaweza toa hiyo hela kwa Alikiba...Habari ya mjini King Kiba amelipwa 5m USD Gavana Joho wa Mombasa kwa ajili ya kampeni..sasa Domo& Co hawajawahi kupata hela ndefu kama hiyo kwa mara moja...na ana mpango wa kununua nyumba zote za Lugumi zinazopigwa mnada...Kiba ndio msanii tajiri kwa sasa East Africa yote...muuza njugu roho inamuuma...mwambieni akamalizie deni la X6 kwa yule mama mjane mke wa Seki.. “Msimtese mjane yeyote wala mvulana asiye na baba.+ 23 Mkimtesa hata kidogo, naye anililie hata kidogo, sitakosa kukisikia kilio chake;+
Hivi kweli Alikiba ana hadhi ya kulipwa hiyo pesa? Alikiba kwenye hiyo show akilipwa sana ni tshs 10million...
Kwa wimbo wa hovyo namna hii unahitaji kupimwa akili kutoa pesa kama hiyo....