Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Nilichogundua kwa watanzania wamevurugika akili na mziki wa Nigeria ndio maana siku zote kwao nyimbo nzur ni ile yenye mahadhi ya huko. Kwenye video wanayoona wao nzur ni mpaka uweke magari au nyumba za kifahari. Madem wakiwa naked na mambo ya kiasherati ndio mziki mzur. Jamaa anajarib kuwa tofaut ukiangali nyimbo zake nying anajarb kuwa kama yeye na mziki wake. Kwa wanaojua mziki huu wimbo ni mzur majungu hayajengi wazee. Kanye west angekua mtanzania sidhan kama angefika pale alipofika maana ana video mbovu kwa vigezo vya wabongo unaeza kusema toka aanze mziki hajawah kutoa kideo kizur.
Ila hii ni namna ya watanzania tulivyo ni watu wa copy an pest. We cant make our own symbol.
Big up kiba and keep it up!!
Nafikiri akina eneka ameelewa
Kaiga biti ya Davido lakini eneka imepotea
Fall ya Davido inatamba
Watu tunataka muziki mzuri
Nitampata wapi
Salome japo alikopi nilizipenda mno lakini hizi tatu alizotoa zimepotea bila taarifa
 
Eneka imeshapotea ndugu sijui unaishi wapi
Hata boda boda hawaupigi
iwe imepotea au haijapotea huwezi kufananisha na uchafu huu, mtu una fans kibao halafu unashindwa hata kujua wanataka nini. kuwa shabiki wa alikiba ni sawa na kuwa shabiki wa arsenal, shabiki wa mondi ni kama shabiki wa barcelona
 
Mi naona iko poa sana, nachompendea kiba yeye anaimba kwenye code yake mwenyewe sio wakina nanii mpaka uone picha ndio utajua hala kumbe ni nanii,
 
Ulikuwa nae fala wewe
Kamtumikie mumeo daimondi huko
Huu utoto sasa, mpaka kutukanana hapa, we kipuuzi unijui ndio maana umepata kiburi cha kutukana nyuma ya keyboard. Mimi sina utimu wa kishamba, nina kazi, nina watoto, nina maisha yangu, nikae nishabikia vinuka mkojo vikinakibuli, nyie wapumbavu, wanyoa viduku na milegezo msio na kazi mjini ndio na mitimu yenu ya kijinga, mnashindia kutwa nzima kwenye mitandao kubishana na vitu visivyo na msingi.

Siasa basi
 
iwe imepotea au haijapotea huwezi kufananisha na uchafu huu, mtu una fans kibao halafu unashindwa hata kujua wanataka nini. kuwa shabiki wa alikiba ni sawa na kuwa shabiki wa arsenal, shabiki wa mondi ni kama shabiki wa barcelona
Eneka mbona ni wimbo mbovu sana ndio maana umekufa
Nyimbo nzuri haifi
 
Huu utoto sasa, mpaka kutukanana hapa, we kipuuzi unijui ndio maana umepata kiburi cha kutukana nyuma ya keyboard. Mimi sina utimu wa kishamba, nina kazi, nina watoto, nina maisha yangu, nikae nishabikia vinuka mkojo vikinakibuli, nyie wapumbavu, wanyoa viduku na milegezo msio na kazi mjini ndio na mitimu yenu ya kijinga, mnashindia kutwa nzima kwenye mitandao kubishana na vitu visivyo na msingi.

Siasa basi
Huna kazi ndio maana unatafuta kula kwa dimond
Seduce me ndio habari ya mjini
 
HAHAHA king kimbaa Leo kanyaa...! Mitaa yote hewani inanukaa..[emoji23]
Aiseee hii ni hatarii, nimejaribu kujipigia promo Ili nielewe lakini sikio limegomaa aisee...!
Vedeo qeen kama harmorapaa .....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gafla cm ikazimaa.
 
Audio ndio muhimu kuliko vidio mama wewe
Eneka na vidio yake ipo wapi?
 
Habari ya mjini King Kiba amelipwa 5m USD Gavana Joho wa Mombasa kwa ajili ya kampeni..sasa Domo& Co hawajawahi kupata hela ndefu kama hiyo kwa mara moja...na ana mpango wa kununua nyumba zote za Lugumi zinazopigwa mnada...Kiba ndio msanii tajiri kwa sasa East Africa yote...muuza njugu roho inamuuma...mwambieni akamalizie deni la X6 kwa yule mama mjane mke wa Seki.. “Msimtese mjane yeyote wala mvulana asiye na baba.+ 23 Mkimtesa hata kidogo, naye anililie hata kidogo, sitakosa kukisikia kilio chake;+
Naona mhasibu umevunja sheria kwa kuripoti taarifa za mwajiri wako ambazo ni un.audited kiasi kwamba utamsababishia matatizo.
 
Hakijaniuma ila kimenishangaza maana mashabiki zako wanadai hupendagi sifa na pia una mashairi mazuri sana ndo haya?
Ila mashairi ya eneka ndio mazuri kuliko ya seduce me
We kauze karanga mwambie dimond atoe wimbo wa nne maana zile tatu zimebuma
Shoo zinapotea sasa hivi
 
Naona kibakuli umekuja mwenyewe kujipa promo, kiufupi nyimbo mbayaaa, nimewekea watoto kuangalia, mwanangu mkubwa kasema hicho nini baba, toa mi sitaki liwimbo libayaaaaa

Siasa basi
Ushazoea visingeli mziki mzuri tuachie Sisi. Kwetu hatucopy.
 
Kimataifa kwa matapishi hayo, acheni kushabikia vitu vya kijinga, nafsi yenyewe inakiri kuwa nyimbo mbovu, utimu ndio unakusumbua

Siasa basi
Narudia kukuambia kwetu hatuimbi singeli. Nenda kwa mtandale mwenzio utapata ladha unayoitaka
 
Audio ndio muhimu kuliko vidio mama wewe
Eneka na vidio yake ipo wapi?
Chat ya MTV base, juzi tu imeingi top 10 Eneka
Eneka huyo anashika nafasi ya 1 , kwa baadhi ya vituo vya luninga huko west Africa na baadhi vituo yupo Top 10, bado anaonekana king'ang'anizi sana..... !
Tukiacha unafiki jamaaa yupo strategic sanaa kwa kazizake.
Uyo ndio eneka.
 
Back
Top Bottom