Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Oyaaaaa! Washtueni na wna.... Izo seduce me Nina nyumba, gari cjui ninii.. Waambiee ZILIPENDWAAA
Jamaaa kaunguruma tenaa SIMBAAAA[emoji91] [emoji91]
 
Kupagawa kubaya anatoa nyimbo mpaka usiku

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
6813f34db59bc685990756753c470c2d.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo naiona thamani ya kukaa kwake kimya mwaka mzima amekuja tofauti kuanzia sauti,maudhui ya wimbo,video na midundo hizi nyimbo mbili Aje na Seduce Me zinaendelea kumpa kibali dogo cha kuvimba naona anaonyesha wapi anaelekea safi sana na bado anavimba bila collabo alafu yule Man Walter anajua sanaaaaa nimesikiliza na ngoma ya Jux haina vurumai yaani,nadhani kukaa kimya ni kanuni inayomsaidia sana kulinda brand yake na kuipa thamani bidhaa yake ingawa muziki wake umeanza kuwatenga watoto wa miaka 18-21 hawawezi kumuelewa maana watoto wanataka heka heka mwanzo mwisho hizi za Kiba zinawapa tabu sio tena yale madusherere.
 
Oyaaaaa! Washtueni na wna.... Izo seduce me Nina nyumba, gari cjui ninii.. Waambiee ZILIPENDWAAA
Jamaaa kaunguruma tenaa SIMBAAAA[emoji91] [emoji91]
Zilipendwa ni nyimbo ya familia ya wcb
Na hii ni baada ya mshtuko wa seduce me
Ally kiba atauwa watu
Zilipendwa yenyewe imekaa kitandale Tandale na itaishia huko huko tandale
Wanajaribu kuzima moto kwa petroli
 
Sijui ni kwamba nilikua na expectations kubwa sana!!? Huu wimbo kwa kweli mhh... lbd nisubiri mwingine!
 
Usishangae sana ndo tulivyo wabongo, simba kashinda kwa penati leo analinganishwa na manutd, sasa ya diamond kulinganishwa na kiba sio ya kustaajabu sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
good morning guys haya sasa wazee wa double standard i told you yesterday i love good music and this is the best song and international song i have never seen in Tanzania kwamba within 21 hours ngoma ina 481,534 views hizi ni level za unforgeable ya french montana kwa views hizo
SOMETIMES WE ARE TO FACE THE REALITY SOMETIMES WE ARE TO FACE THE TRUTH AND ACCEPT IT
MY REGARDS
 
Baba sasa hivi ni zinasoma 500,000 na kuendelea
Mpaka siku ya leo iishe itakuwa imesoma milioni 1 na kuendelea
 
good morning guys haya sasa wazee wa double standard i told you yesterday i love good music and this is the best song and international song i have never seen in Tanzania kwamba within 21 hours ngoma ina 481,534 views hizi ni level za unforgeable ya french montana kwa views hizo
SOMETIMES WE ARE TO FACE THE REALITY SOMETIMES WE ARE TO FACE THE TRUTH AND ACCEPT IT
MY REGARDS
Fresh remix ...itakua na ngap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom