Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Tofauti ya kiba na mond ni moja tu. IQ mond akiweza hili basi
Mi nachoona Mond sio poseur, licha ya kuwa tajiri, ila amekubali kuwa you cant take the hood out of him, ndo ukweli huo! Hivyo yuko genuine!
 
honestly sipo team yoyote ile ila i love good music,ila we human beings especially Tanzanians ie we Tanzanian sometimes we are to face the reality sometimes we are to face the truth and accept it.Mtu akifanya vizuri mpongeze mimi nasema this is the best song and international song kama mnabisha wait tuone kwenye chart Africa itafanyaje.
this is the best song and international song ambayo hata p.didy,jay z au drake au any international artist anaweza sikiliza tuache mambo ya kukataa ukweli hayana maana ndugu zangu.huu wimbo hauwezi kuulinganisha na either eneka or fire THIS IS THE BEST SONG AND INTERNATIONAL SONG
MY REGARDS.
SOMETIMES WE ARE TO FACE THE REALITY AND ACCEPT THE REALITY.
 
Tatizo ni tafsiri za watu, mnajiumiza sana kuunganisha dots zisizo na logic, hata angepost yuko toilet mngetafsiri kivyenu!
Mwisho wa siku songi la Kiba ni baya, namshauri atoe remix yake na aipake rangi angalau.
Wimbo wa kiba hauna radha kabisa makelele tu, km alkua anaimba choon hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kimoja nilichogundua kuhusu mziki wa bongo hususani kwa mashabiki wa diamond na ally kiba ni kutegema anachofanya huyu na mwingine afanye hivyo hivyo.
Wengi nadhani walitarajia mbwembwe nyingi na nyimbo yenye tempo kubwa kwenye nyimbo hii mpya ya alikiba
This is good music simply bcoz unachezeka na hauna zile mbwembwe zetu za kusifia mwanamke.
Sio lazima wote tusifie mwanamke
Usiwekee mategemeo kwa kitu ambacho sio cha kwako

By
Classic

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu classic nyoosha maneno wimbo huu ni wa hovyo kabisa ...hivi unafikiri watu hatuna nyimbo za Alikiba tunazo zipenda?
 
Watu wakiacha mihemko ya uteam HII nyimbo ni KALI NA HAIFANANI NA YA MSANII YEYOTE WALA HAIFANANI N.A. NGOMA ZAKE ZA AWALI.
HONGERA KWA MANWATER
HONGERA KWA ALIKIBA
SIO kama hautuhitaji kwenda international LA ila kama tunakwenda international twende na Vya KWETU KAMA AJE NA SEDUCE ME....
 
Wimbo mpya wa alikiba ambao mashabiki zake tume usubiria kwa hamu kubwa huku ukipewa proma kubwa hatimaye umetoka kama hujausikiliza unaweza kuangalia hapa

Unaweza kuangalia alivyo copy na ku paste pia hapa

Lengo la hii thread haswa nataka nimshauri alikiba awe ni mtu ambaye anasikiliza mashabiki wake wanasema nini....binafsi huo wimbo ktk mahadhi nimeulewa lakini quality ya video pamoja na na style yake haina chochote cha msingi...huwez linganisha wimbo huu na wimbo wa aslay kamwe

Nilitarajia wimbo kama huo iwepo style dance ya maaana sasa kaishia kujisifia tu huku mwenyewe kavaa vibaya sana yaan very local.

Kiukwel kama shabiki sijapendezwa nao kabisa

Mbaya zaidi ni kwamba ka copy na ku paste hadi cover ya wimbo wa starboy yaan hakuna hata haya....location pia nazo kaiga..style ya kuimba afadhali angekomaa na style ya kawaid

Angalia hapa alivyo copy na ku paste

Alikiba kiukweli badilika....unawaumiza mashabiki zako kabisa

Unstopable za kiki hazifai

Toa kazi ya maana watu watakuelewa sio kujisifia tu ambako hakuna uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wakiacha mihemko ya uteam HII nyimbo ni KALI NA HAIFANANI NA YA MSANII YEYOTE WALA HAIFANANI N.A. NGOMA ZAKE ZA AWALI.
HONGERA KWA MANWATER
HONGERA KWA ALIKIBA
SIO kama hautuhitaji kwenda international LA ila kama tunakwenda international twende na Vya KWETU KAMA AJE NA SEDUCE ME....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
honestly sipo team yoyote ile ila i love good music,ila we human beings especially Tanzanians ie we Tanzanian sometimes we are to face the reality sometimes we are to face the truth and accept it.Mtu akifanya vizuri mpongeze mimi nasema this is the best song and international song kama mnabisha wait tuone kwenye chart Africa itafanyaje.
this is the best song and international song ambayo hata p.didy,jay z au drake au any international artist anaweza sikiliza tuache mambo ya kukataa ukweli hayana maana ndugu zangu.huu wimbo hauwezi kuulinganisha na either eneka or fire THIS IS THE BEST SONG AND INTERNATIONAL SONG
MY REGARDS.
SOMETIMES WE ARE TO FACE THE REALITY AND ACCEPT THE REALITY.
Daaah umejitahidi sana kukonvinsi lakn ukweli unabki kuwa palepale mwana katoa boko.

Bora at kisela ya vmoney kuliko huu utumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wimbo wenye sifa hizi....
1/Unasikilizika.
2/Unaimbika.
3/Unachezeka.

Hivyo basi mwisho wa siku watu watausikiliza, watauimba na wataucheza.
Na hiyo ndio sanaa. Na hicho ndio kipaji cha sanaa ya muziki. Siijui vizuri Bongo flavour na wala huwa siifuatilii. Lakini naijua sanaa ya Muziki vizuri.

Na sio lazima kila mtu aupende wimbo wako.
 
Back
Top Bottom