Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

hahahaha yani bora kusikiliza papa ya Gigy kuliko hii taka taka aliyoileta Alikiba.
Mimi si shabiki wa Alikiba kabisa lakini kuna nyimbo zake ni nzuri nazikubali kama Aje,Cheketua,Lupela...
Kwakweli Alikiba anapaswa kuendelea kuamshwa na Diamond ili apate show lake kwa muziki tuu hana ubavu.
 
a4c2644a816d3de3046ce1a25e5869a5.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu mashabiki wa kiba tutengenezeni uzi wetu wa timu kiba, tujue tunamsaidiaje kiukweli anatutia aibu sana mtaani, yani anatuangusha vilivyo. Tunajtahidi kumpa sapot lakni wapi. Embu tonane tujue anakosea wapi.

Uso wangu sijui hata niuweke wapi aibu hii.
mbona upo uzi wenu wa Ali kiba special thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashkuru kwa kunisaidia mkuu! Maana hiyo nyimbo nilikuwa sielewi,bongoflava sio bongoflava,nikawa najiuliza asili yake wapi? Yawezekana jamaa ametoa kwa ajili ya mashabiki wa nje,kama anavyofanya diamond.maana kuna nyimbo nyengine diamond anatoa ndani ya nchi hazieleweki lkn nje ya nchi zinapata airtime ya kutosha na kupendwa
Wananiita [HASHTAG]#Heartbreakers[/HASHTAG],Kipusa Kiba sio level za malkia wa nguvu
 
Si wanasemaga huyu ni mkali wa mashairi hayo mashairi yenyew yako wapi kwenye huo wimbo
 
Watu wanafiki sana wanachangia... Ki team team ndiyo maana mziki wa bongo unazidi kufa....
 
SIJUI HATA KWANINI HUWA MNAMUONA KIBA MSANII, KIBA ALIKUA ZAMANI NA ALISHAKWISHA KAMA KINA FERUZI, TEMBA, JUMA NATURE,DUDU BAYA, MR.NICE N.K, Kinachomweka mjini ni mashabiki wasiompenda Diamond ambao wameamua kumuoverrate Kiba na kumfananisha na Diamond, ila kiuhalisia Kiba hana kitu sasa
Umeongea point kijana, kachukue balimi nakuja kulipia

Siasa basi
 
My View
Nyimbo ni nzuri ila video ndo iko hatua chache kutoka wimbo ulipo
Wabongo wamehabibiwa na video za kung'aa ng'aa sana
Alikiba and diamond are the best artists in Tz everyone has his unique melody tusitake Domo awe na sauti kama alikiba na tusitake alikiba aimbe vitu visivyoeleweka just tu entertainment kama mwenzake anavyofanya kwa kufanya collabo zisizo na macho wala mkia
Kuanzia diamond aanze kuforce collabo ndo amepotea na nyimbo inayoshikilia huo utumbo ni eneka haina kichwa wala mkia
Hahahaaaa povu hilo sasa badal uongelee ngoma ya kiba ubaingiza maswala ya eneka daah kwa hii mpuyango ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kimoja nilichogundua kuhusu mziki wa bongo hususani kwa mashabiki wa diamond na ally kiba ni kutegema anachofanya huyu na mwingine afanye hivyo hivyo.
Wengi nadhani walitarajia mbwembwe nyingi na nyimbo yenye tempo kubwa kwenye nyimbo hii mpya ya alikiba
This is good music simply bcoz unachezeka na hauna zile mbwembwe zetu za kusifia mwanamke.
Sio lazima wote tusifie mwanamke
Usiwekee mategemeo kwa kitu ambacho sio cha kwako

By
Classic


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom