Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Am not a kiba fan ila the song is good... Video mmmmhhh sina comment [emoji144] [emoji144] i love audio kiukweli.
 
95426e01bd43da5e2721d09984b5b754.jpg
Ukitekwa usitulaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idris sultan aliwahi kusema ukiona msanii katoa nyimbo mbovu jua marafiki alionao ni wanafiki

blame no body
 
nachukia sana ujue!
sasa ukimkuta anajiandika FOREVER KING!
YANI UNATAMANI UMPASULIE YAI VIZA !
anuke tu labda akioga maji baridi atashtuka usingizi aliolala!

WITH THESE LOYAL MASHABIKI ALONAO!
HAWATOLEI CHOCHOTE CHA MAANA!
AKITOA VIDEO KAMA YA KUMUNYO!
AKIIMBA KAMA TUNAMUOMBA ATUPE FUNGUO ZA PEPO!
unamfanyaje huyu mtu kama sio kumpasulia yai viza la kenge tu!
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Swali hili ukijibu

Kuanzia Leo naanza kumshabikia Chaijaba

Mbona mmeiba nyimbo ya DAVIDO?
sikiliza!
UBOVU WA MAHARAGE
HAULALALISHI KUOZA KWA KANDE!
sawa?
wewe unakubali msaniii wako kutoa wimbo mbovu kwa kuwa naseeb amekopi?
NILIDHANI UNGELILIA UBORA WA KAZI ILI UMFUNIKE ALIYEKOPI NA COPY YAKE!

naongea kuhusu mziki mzuri!
wakati nasikiliza wimbo sina indicator ya copy na halisi!

I JUST WANT GOOD MUSIC!
hell who copied who!
KAMA SIUJUI ENEKA WA DAVIDO NITATOA TICK KWA NASEEB KAIMBA VIZURI!

swali ni!
SIUJUI WIMBO WA SEDUCE ME,
NIKISEARCH UNAKUJA NA KIBA!
NDICHO HIKI UNATAKA NIBAKI NACHO KUWA HUU NDIO UIMBAJI WAKE?

LIKE REALLY?
 
Mbona hujajibu swali?

Umeandika maelezo marefu ambayo hayana Logic.

Jibu swali

Vingnevyo acha kutaka kila mtu ajue kuwa huna akili
 
Nilichogundua kwa watanzania wamevurugika akili na mziki wa Nigeria ndio maana siku zote kwao nyimbo nzur ni ile yenye mahadhi ya huko. Kwenye video wanayoona wao nzur ni mpaka uweke magari au nyumba za kifahari. Madem wakiwa naked na mambo ya kiasherati ndio mziki mzur. Jamaa anajarib kuwa tofaut ukiangali nyimbo zake nying anajarb kuwa kama yeye na mziki wake. Kwa wanaojua mziki huu wimbo ni mzur majungu hayajengi wazee. Kanye west angekua mtanzania sidhan kama angefika pale alipofika maana ana video mbovu kwa vigezo vya wabongo unaeza kusema toka aanze mziki hajawah kutoa kideo kizur.
Ila hii ni namna ya watanzania tulivyo ni watu wa copy an pest. We cant make our own symbol.
Big up kiba and keep it up!!
 
nachukia sana ujue!
sasa ukimkuta anajiandika FOREVER KING!
YANI UNATAMANI UMPASULIE YAI VIZA !
anuke tu labda akioga maji baridi atashtuka usingizi aliolala!

WITH THESE LOYAL MASHABIKI ALONAO!
HAWATOLEI CHOCHOTE CHA MAANA!
AKITOA VIDEO KAMA YA KUMUNYO!
AKIIMBA KAMA TUNAMUOMBA ATUPE FUNGUO ZA PEPO!
unamfanyaje huyu mtu kama sio kumpasulia yai viza la kenge tu!
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji119] [emoji119]

Aisee aisee.. maneno mazito

Hv ukiwa Mkwe wangu siku nika haribu kwa mwanao nitatoka salama kweli kwa maneno haya??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona hujajibu swali?

Umeandika maelezo marefu ambayo hayana Logic.

Jibu swali

Vingnevyo acha kutaka kila mtu ajue kuwa huna akili
ah na haya majigambo NDO YANAMPONA MWENZENU!
na huu ndo wehu mnaomjaza!
anajikuta ANAKAA MAWINGUNI!
I rest my case!
 
Back
Top Bottom