Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Kiukweli kwa alichotuonyesha kiba leo katika video yake mpya ya Seduce me ni majanga matupu

1.Video mbovu

2.Rangi kwenye video hazieleweki yani hovyo hovyo

3.yupo rafu tu mchafu mchafu hadi kuangalia kichefuchefu

4.nyimbo ni mbovu haijawahi tokea kiba kutoa nyimbo mbovu hivi

Alikiba ametutia aibu sio kwa nyimbo kimeo hivi tena umekaa mwaka mzima ndio umeleta balaa hili?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhari angetafuta biti la hip hop la zamani nae amjibu Mond, angepaa zaidi, song hii kwangu sijaielewa kabisa!
Kama ndo kajitahidi basi HONGERA zake.
 
Back
Top Bottom