Offer ya Rostam kwa familia ya Dan Mwakiteleko

Inabidi tusubiri utekelezaji maana si mara moja wafanyakazi wa Habari Corp wamepitisha mwezi bila mshahara, au ninakosea?
 
Kabla ya kusifie hebu tuangalie je ni wafanyakazi wake wote ndo anawafanyia hivyo? Or beacause he was famous among of his workers?
 
Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
RA anaitaji pongezi kwa ilo
Source :ch ten 19hrs news

tangu kuanguka kwa fisadi nguli na mwarabu wa Iran na baadaye kifo cha 'MHARIRI WA GAZETI LA RAI', lililokuwa kipambe na kipenzi cha kuandika kila lililozuri la RA & Co, nimekuwa na homework ya kukonekti dots.

nitarudi baadaye.
 
tangu kuanguka kwa fisadi nguli na mwarabu wa Iran na baadaye kifo cha 'MHARIRI WA GAZETI LA RAI', lililokuwa kipambe na kipenzi cha kuandika kila lililozuri la RA & Co, nimekuwa na homework ya kukonekti dots.

nitarudi baadaye.

WaIran sio Waarabu, rudi shule kabla hujamwaga pumba, ndio akademi zenyewe hizo zinavyowafundisha?
 
R.I.P Dan. Kifo cha mwandishi huyu kimekuzwa sana. Hapa ndiyo utapata picha kuwa pesa za ufisadi zina nguvu kupita kiasi. Wapo waandishi wengi wa habari waliotangulia mbele ya haki lakini sijaona wakipeuwa uzito sawa. Ama kweli Rostam anayo influence ya kutisha.
 
Hapa kuna watu wa habari cooperation, ni jukumu lao kufuatilia ahadi hii maana isije ikawa danganya toto ya kujitutumua msibani.
Pia ni lazima kuwe na utaratibu ambao hiyo familia itaendelea kufaidika na hiyo ahadi hata kama kutakuwa na mabadiliko. miaka mitano ni mingi na hulka ya binadamu ni kuwasahau wafu mapema.

Huu ni mwaka wa tatu hivi ile ahadi inaendelea? kustaafu kwa Teophil Makunga kumenikumbusha.
 
Back
Top Bottom