Offer ya Rostam kwa familia ya Dan Mwakiteleko

Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
RA anaitaji pongezi kwa ilo
Source :ch ten 19hrs news
Of course Mhariri mkuu/msaidizi, he was very pivotal to habari cooperation media and the government against many allegation made unto Kikwete and his allies, perhaps to all chama cha magamba too. This is just in-kind treatment, I am sure it is because he stood firm using Rai and Mtanzania media to defend Mafisadi and the government. You may also recall how almost the all government and those who benefited from his media propaganda mourned him yesterday. It is only Kikwete and allies will remember Mwakiteleko for defending them but not the rest of Tanzanians. He had nothing to be remembered (No legacy), he did not contribute to unleashing the corruption of his masters, instead he folded them through through spreading ccm propaganda against Jk political foes.

Ni jambo jema na ni zuri sana hata mbele ya Mungu lakini iwe kwa wafanyakazi wote; yaani iingizwe kwenye 'staff regulations' au 'fringe benefits' za hiyo institution.

Ivi watu mnajua maana ya kampuni? Mnampa RA pongezi kwani zinatoka mkononi mwake?

Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
RA anaitaji pongezi kwa ilo
Source :ch ten 19hrs news
Hiyo sawa, lakini hii inafuta stahili zake nyingine kama mwajiriwa? Pamoja na yote haya, haki zake zinazosimamia utumishi wake ziheshimiwe. Haya mengine ni utashi binafsi wa RA ambao sina tatizo nao. Iwapo hayo ndo masilahi pekee itakayopata familia ya marehemu na sheria za kazi zikawekwa pembeni mashaka yangu bado makubwa.

hivi mnafikiri RA ana roho mbaya kama ya huyo jamaa anayekaa magogoni?

Safi sana RA angalau ameanza kurudisha alivyochukua kwetu. Endelea na moyo huo na wenzako wakuige

Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
RA anaitaji pongezi kwa ilo
Source :ch ten 19hrs news
hapa RA anastahili pongezi

bashe kama md ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
Ra anaitaji pongezi kwa ilo
source :ch ten 19hrs news

yaaah,hii safi sanaaaaa,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

binafsi nimeipenda hii, angalau familia ya danny itaepukana na ugumu wa maisha kutokana na kuondokewa na baba yao. na watoto watakuwa na uhakika wa kupata elimu. nimefannya kazi na danny mwananchi communications na baadaye habari corporation kabla ya kuacha na kujiajiri, habari ya kifo chake ilinihuzunisha sana, lakini kwa habari hii napata faraja, wasiwasi wangu ni utejkelezaji wa ahadi hii, maana mishahara ya habari imekuwa na matatizo ya kutotoka kwa wakati, bashe fanya kazi ya ziada kusimamia hili.

RIP Danny.

Of course Mhariri mkuu/msaidizi, he was very pivotal to habari cooperation media and the government against many allegation made unto Kikwete and his allies, perhaps to all chama cha magamba too. This is just in-kind treatment, I am sure it is because he stood firm using Rai and Mtanzania media to defend Mafisadi and the government. You may also recall how almost the all government and those who benefited from his media propaganda mourned him yesterday. It is only Kikwete and allies will remember Mwakiteleko for defending them but not the rest of Tanzanians. He had nothing to be remembered (No legacy), he did not contribute to unleashing the corruption of his masters, instead he folded them through through spreading ccm propaganda against Jk political foes.

nyamagaro ni kweli danny has never been anywhere close to watu kama kina ansbert ngurumo, kubenea , jenerali na watetezi wengine, laikini tunafurahia offer hii kwa ajili ya familia yake ambayo ni innocent kwenye issue hii.

• Thanks
Reactions: Ame
yaan mafisadi kushea hela yetu na wananchi ni kitu cha kawaida maana hata akina bill gate na matajiri wengine wa ulaya huwa wanatoa misaada kama hyo mimi wala sioni kama ni kitu cha ajabu hata kidogo, piga mahesabu hela aliyokua analipwa RA kama capacity charge kwa siku ya vile vimtambo vyake ametuibia shilingi ngapi?? hakuna cha kusifia hapo

• Thanks
Reactions: Ame
Of course Mhariri mkuu/msaidizi, he was very pivotal to habari cooperation media and the government against many allegation made unto Kikwete and his allies, perhaps to all chama cha magamba too. This is just in-kind treatment, I am sure it is because he stood firm using Rai and Mtanzania media to defend Mafisadi and the government. You may also recall how almost the all government and those who benefited from his media propaganda mourned him yesterday. It is only Kikwete and allies will remember Mwakiteleko for defending them but not the rest of Tanzanians. He had nothing to be remembered (No legacy), he did not contribute to unleashing the corruption of his masters, instead he folded them through through spreading ccm propaganda against Jk political foes.

Pamoja na maumivu ya kupotewa na kiumbe wa Mungu lakini huu ndiyo ukweli ambao watanzania hatuwezi kuusema kwa ujasiri pale tunapotakiwa kusema. Hatujui kuwa kila jambo lina sababu zake na katika misiba ndipo tunapojifunza. Kama tutathubutu kusema mambo yanaoyotukera hata mbele ya wale wanaotukera basi jamii itajifunza na kujirekebisha.

Ni vyema tukarudia misingi yetu ya kiafrika hapo zamani ambapo mtu ambaye hakubaliki katika jamii hata kwenye msiba wengine hakushiriki ili kutoa onyo kwa wengine wenye tabia kama hizo. Kwa jinsi hii hata tusipokuwa na mahakama watu wangejifunza kwa haraka zaidi. Imagine mimi nakuja na V8 iliyonunuliwa na kodi ya raia huku ikijulikana kabisa sitoi mchango wowote kwenye jamii yangu; utashangaa kila mtu atakuja kujipendekeza kwangu huku wakinipa sifa kedekede za mheshimiwa mheshimiwa na shikamoo kibao hata kwawalio nizidi umri kama vile Mungu; fyuuuu...ebu tujaribu kuzikataa hizi tabia na hawa watu na kuwaambia live this is not acceptable uone kama wata thubutu kurudi na usanii wao kwenye majumuiko ya kijamii.

Eti unaenda jimboni watu choka mbaya na v8 kuwasanifu kuwa wewe ni mwenzao; wakati unaishi Dar kwenye Bangalou lako lilijengwa kwenye kiwanja kilichopimwa, unatibiwa India; SA na Ulaya, watoto wako wanasoma Sinners Team (ST) Academy etc; Alafu bila aibu unasema eti wewe ni mwenzao kina nani? Acheni usanii watanzania ukiona vipi waachie wenzao wawa represent huko kwenye kutunga sheria uone kama hawajaja na realistic policies maana they know better their situations than we do!

Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.RA anaitaji pongezi kwa iloSource :ch ten 19hrs news
Good move.

Back
Top Bottom