Offer ya Rostam kwa familia ya Dan Mwakiteleko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Offer ya Rostam kwa familia ya Dan Mwakiteleko

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Jul 25, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Bashe kama MD ametangaza msibani kuwa mjane ataendelea kupokea mshahara wa mumewe kwa miaka mitano,na dependants wawili wa shule ya msingi na wa chuo wataendelea na masomo kwa hisani ya habari cooperation.
  RA anaitaji pongezi kwa ilo
  Source :ch ten 19hrs news
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Mengi wa IPP MEDIA yapaswa kuiga mfano huu!sii kukopesha vikoba tuu
   
 3. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  To some extent ni vzr nami nimeona
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Mafisadi sasa wanasimamia haki japo ni chungu kwa majangili ccm!!
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  RA naona anajaribu kujitakasa!
   
 6. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  ishu siyo kupiga magoti ni kumpeleka PCCB huo ndiyo uwajibikaji. hana jimbo huyo 2015
   
 7. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hamkosi la kusema kawaida yenu
   
 8. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hizi ni habari njema kwa familia ya marehemu kwani watu huwa wanauchungu wa kuondokewa na mpendwa wao pamoja na mchango au msaada wake katika maisha yao. At least machungu ya kwenye mchango wake yatapungua ingawa hayawezi kuisha. Mshahara utakuwa unaongezeka katika kipindi hicho cha miaka mitano?

  Poleni sana wafiwa na mungu awatie nguvu katika wakati huu wa majonzi
   
 9. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  binadamu hawana jema watasema tu hata km zuri watakebehi
   
 10. Rocket

  Rocket Senior Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumpongeze jmani ni makampuni machache sna hapa TZ yanaweza kufanya hivi...
   
 11. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Safi sana, hii imetulia.
   
 12. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bravo RA! Ila haizuii kushitakiwa kwa ufisadi!
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ofcourse huitaji kupata mshauli kutoa offer kama iyo ukimwangalia RA na namna wananchi wanavyomchukulia so it is just a strategy towards uadilifu ingawa its a long way to go
  All the best RA ikifika billioni angalau 100 nitatoa pongezi zangu
   
 14. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  id mpya ya faiza foxy??!
   
 15. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,494
  Trophy Points: 280
  Ni jambo jema, binafsi limenifurahisha. Lakini watekeleze ahadi, maana baada ya msiba, watu wengi husahau ahadi na majumuku waliojipangia au kupangiwa.
   
 16. T

  Technology JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  nice step toward humanity!
   
 17. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa washatukatili vya kutosha.!.,2namshukuru kwa kuonesha utu.
   
 18. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mh huyu aliyekufa ni mfanyakazi wa RA alikuwa ? Wengine hatumjui sasa kuleta habari za upande mmoja si safi
   
 19. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  kwani wafanyakazi wa New Habari Corporation hawana pension?
   
 20. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ime2lia sana!
   
Loading...