Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
Huu ni utoto uliopita kiasi
Nonesense...!
Kwanza hakuna mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA mwenye jina la Fulgence Mapunda
Pili,Wangeweka wazi ni akaunti ipi hizo fedha zililipwa
mbowe hata ashauriwe vp hawez kufanikiwa. IQ yake ni ndogo, u DJ ulikuwa unamfaa sijui kwa nin analazmisha siasa
Kama CHADEMA walimsaidia akagonga mwamba, ni imani ya watanzania kuwa hata huku watagonga mwamba tu.
mkuu, hili siyo la kuchukulia mzaha,kenya wanapuuzia taarifa kama hizi mwishoe zinawagharimu.
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.
Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.
Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.
ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.
VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.
VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo
Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.
source: SAUTI HURU

Mfa maji haishi kutapatapa mnalo mwaka huu na mwakan mpaka kieleweke, magamba lazima yavuke tu
Acheni upuuzi vipi mmeona kumtumia msajili wa vyama haitoshi sasa mmeamua kumwingiza Odinga kwenye uchafu wenu.