Odinga atia mkono UKAWA

Odinga atia mkono UKAWA

Birds of the same feathers flock together, raila is a failure and so is chadema and ukawa
 
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.

Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.

Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.

ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.

VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.

VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo

Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.

source: SAUTI HURU

Nonesense...!

Kwanza hakuna mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA mwenye jina la Fulgence Mapunda

Pili,Wangeweka wazi ni akaunti ipi hizo fedha zililipwa
 
Aisee kweli mfa maji hakosi kutapatapa! Sijui mkitoka kwa Raila Odinga mtamrukia nani? Maana mlianza kwa Balozi wa Uingereza, mkaishia kushikana uchawi wenyewe. Sasa mmemrukia Raila lets wait and see this another episodes of CCM. But if my brain still serves me well nakumbuka kwamba Dr. John Magufuri kwa kutumia resources za serikali ya Tanzania, alikwenda Kenya kumpigia kampeni Raila Odinga.
 
Kipeperushi kinataka umaarufu,
Hivi hiyo ni story ama makala?
 
Empty rhetoric; pure udaku; BS
 
Uzushi, mtindo ni ule tu wa kuendelea kuwagofya raia na kuaminisha ugoro wenu nyie CCM ni fungu la kukosa mbona mnatung'ang'ania sana, sasa mnaanza kuleta hadithi za kupika Lumumba then mnaleta hapa hizi enzi siyo za Mrema na Lipumba mbona mnakuwa kama wathirika wa madawa ya kulevyda. Nyie endelea kupigana maybe mtashinda ila kama Mungu haishivyo hamtashinda siku zote. "take care nyie washuma"
 
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.

Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.

Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.

ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.

VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.

VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo

Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.

source: SAUTI HURU
Habari hii imeletwa kwenu na ACT kwa hisani ya watu wa lumumba?
 
Kuna watu au kikundi cha watu kina dhambi sana, yaani kila kukikucha hawaoni raha bila kuzusha uongo dhidi ya wengine. NI DHAMBI KUBWA HII.
Dhambi sio kubwa tuu bali mbaya sana .ata wahenga walisema heri ya mchawi kuliko mfitinishi .
 
Cheap politics,akili za kuambiwa changanya na zakwako kisha uchanganue
 
Sio vibaya kwa vyama vya siasa kushirikana na kubadilishana utaalam na kusaidiana hasa ktk nyanja za ujuzi,rasimali fedha kote duniani wanafanya hivyo ndio maana CCM mpaka leo inashirikiana na vyama kibao kote duniani.Unachokisema wakisema kwasb ya uelewa wa watu wenu bado ndogo na si kweli kuwa Mr Odinga anaingilia siasa za Tanzania ili kuleta matatizo katka ardhi hii,kumbuka hii familia ya Odinga ni sisi watz ndio tuliwasaidia huyu Raila alikuwa anakaa kwa mwl.Nyerere kabla hajaenda masomoni Ulaya kushukua degree yake ya kwanza ya uinjinia.Mimi nafuatilia sana siasa za Kenya Odinga unamsingizia. Nikweli chama chake cha ODM kina mahusiano mazuri sana na Chadema,NCCR na CUF lakini yote ni kwa ajili ya kupeana uzoefu na ujuzi wa kuendesha hizi vyama. maana hizi vyama ni wadau namba moja wa amani ata hata hapa kwetu sasa kushauri watu kuungana ni kosa?hakuna asiye jua umoja ndio nguvu na mimi nawashauri hao UKAWA nguvu yao ipo kwenye umoja na kuelekea ktk uchaguzi wasimamishe candidate moja tu kwa post ya urais,ubunge waachiana kwa kila jimbo mtu moja tu na hata udiwana na serikali ya mtaa.Hakika wakifanya hivyo story itabadilika maana watz wako tayari kwa mabadilko ila hawajaunganishwa tu ktk centre moja.

Katika kuungana watapata shida nyingi maana kawaida aliyeko madarakani hapendi umoja wa wanaompinga,lakini ni ujasiri tu,mjue kushinda uchaguzi wenu mkuu ni lazima mshinde vita ya kuwafarakanisha,sheria za tz haipendi umoja but mnawewza kukwepa ilo kwa kubaki na vyama vyenu lakini mkashirikana kawa kupata mgombea moja bora kwa kila post.YES YOU CAN
 
Habari hii imeletwa kwenu na ACT kwa hisani ya watu wa lumumba?

Hawa COWARD shida sana na wamsubiri MM mwenzao atahamia rasmi huko mwezi wa tisa kwa sasa anasubiri amalizie fungu lake alilopewa
 
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.

Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.

Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.

ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.

VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.

VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo

Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.

source: SAUTI HURU

Njaa na uroho wa madaraka mpiga disco anataka kuteletea shida zake
 
Nonesense...!

Kwanza hakuna mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA mwenye jina la Fulgence Mapunda

Pili,Wangeweka wazi ni akaunti ipi hizo fedha zililipwa

Mlishamfukuza MAPUNDA?
Wewe ni mtu mdogo sana CHADEMA, huwezi kujua Akaunti za CHAMA.
 
Sio vibaya kwa vyama vya siasa kushirikana na kubadilishana utaalam na kusaidiana hasa ktk nyanja za ujuzi,rasimali fedha kote duniani wanafanya hivyo ndio maana CCM mpaka leo inashirikiana na vyama kibao kote duniani.Unachokisema wakisema kwasb ya uelewa wa watu wenu bado ndogo na si kweli kuwa Mr Odinga anaingilia siasa za Tanzania ili kuleta matatizo katka ardhi hii,kumbuka hii familia ya Odinga ni sisi watz ndio tuliwasaidia huyu Raila alikuwa anakaa kwa mwl.Nyerere kabla hajaenda masomoni Ulaya kushukua degree yake ya kwanza ya uinjinia.Mimi nafuatilia sana siasa za Kenya Odinga unamsingizia. Nikweli chama chake cha ODM kina mahusiano mazuri sana na Chadema,NCCR na CUF lakini yote ni kwa ajili ya kupeana uzoefu na ujuzi wa kuendesha hizi vyama. maana hizi vyama ni wadau namba moja wa amani ata hata hapa kwetu sasa kushauri watu kuungana ni kosa?hakuna asiye jua umoja ndio nguvu na mimi nawashauri hao UKAWA nguvu yao ipo kwenye umoja na kuelekea ktk uchaguzi wasimamishe candidate moja tu kwa post ya urais,ubunge waachiana kwa kila jimbo mtu moja tu na hata udiwana na serikali ya mtaa.Hakika wakifanya hivyo story itabadilika maana watz wako tayari kwa mabadilko ila hawajaunganishwa tu ktk centre moja.

Katika kuungana watapata shida nyingi maana kawaida aliyeko madarakani hapendi umoja wa wanaompinga,lakini ni ujasiri tu,mjue kushinda uchaguzi wenu mkuu ni lazima mshinde vita ya kuwafarakanisha,sheria za tz haipendi umoja but mnawewza kukwepa ilo kwa kubaki na vyama vyenu lakini mkashirikana kawa kupata mgombea moja bora kwa kila post.YES YOU CAN

Hakuna anayekataa vyama kushirikiana lakini umeona ODINGA anavyomshauri MBOWE? eti akishindwa uchaguzi machafuko yanaweza kutokea na wakakaa meza ya mazungumo na hapo anaweza kupata madaraka. Too bad, huyu siyo mtu mzuri kabisa.
 
Kiongozi wa Muungano wa vyama vya ODM na WHIPER, CORD ya Kenya, RAILA AMOLO ODINGA anadaiwa kutia mkono katika siasa za Tanzania baada ya kuthibitika kuwa anakisaidia CHADEMA namna ya kudhoofisha serikali ya Rais Jakaya Kikwete na hata kukiangusha CCM kutoka madarakani.

Habari zinasema ni ODINGA ndiye alimshauri Mbowe atumie nafasi ya uandikaji wa Katiba Mpya kushawishi vyama vingine kuungana ndipo wanapoweza kukiangusha CCM na kwamba hata ikishindika basi yanaweza kutokea machafuko kama yalivyotokea Kenya ili usuluhishi ufanyike na watu wagawane madaraka na hapo MBOWE anaweza kuwa Waziri Mkuu kama ilivyokuwa ODINGA.

Inasemekana tayari ODINGA ameshatoa kiasi cha fedha Dola 50,000 za kimarekani kwa kiongozi wa CHADEMA kama hatua ya mwanzo na kwamba ameahidi kutoa CHOPA tatu zitakazotumiwa na viongozi wa UKAWA hasa CHADEMA kuzunguka nchi nzima kuhamasisha wananchi kukubaliana na matakwa ya CHADEMA ya serikali tatu.

ODINGA anafanya hivyo kulipa fadhila kwa CHADEMA kufuatia chama hicho kukisaidia chama chake cha CORD katika kampeni za uchaguzi wa chama hicho mwaka jana ambapo CHADEMA ilipeleka magari matatu aina ya FUSO na wasanii wakiongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, FULGENCE MAPUNDA.

VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA VYA TANZANIA
habari zaidi zinasema vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania tayari vimemtumia salaam Raila Odinga na kumfahamisha kuwa, mchezo anao ucheza tayari unajulikana na kumshauri kuacha mara moja kuingilia siasa za nchi huru kama Tanzania.

VYAMA VYA CUF NA NCCR-MAGEUZI
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema vyama vya NCCR-MAGEUZI na CUF vilivyoungana na CHADEMA kuunda UKAWA havijui siri iliyoko ndani bali hupelekwa tu kama bendera inavyofuata upepo

Itakumbukwa kuwa baada ya uchaguzi mkuu nchini KENYA mwaka 2007 nchi hiyo iliingia katika machafuko makubwa ya umwagaji damu na kusababisha vifo vya watu zaidi 1,000 huku wengine makumi na mamia wakiachwa bila makazi hadi pale ilipoitishwa meza ya mazungumzo na kuhitimishwa kwa kugawana madaraka ambapo Raila Odinga alitawazwa kuwa Waziri Mkuu na Mwai Kibaki akiwa Rais.

source: SAUTI HURU
m
leta mada nenda kapimwe akili kwanza

ccm mwaka huu lazima mvae chupi kichwani maana UKAWA imewashika kunako hampumui. hivi mnafikiri watanzania wa leo wana akili mbovu kama za ma ccm? mmekuja na ugaidi mmeshindwa, mmepiga raia risasi mmeshindwa, kesi bandia mmeshindwa, propaganda mmeshindwa, matusi mmeshindwa, mmetumia wasajiri wa vyama vya siasa mmeshindwa, mmeua watu kwa mabomu mmeshindwa.kaeni chini dawa iwaingie vizuri. huu ndio mwisho wenu
 
Back
Top Bottom