Sio vibaya kwa vyama vya siasa kushirikana na kubadilishana utaalam na kusaidiana hasa ktk nyanja za ujuzi,rasimali fedha kote duniani wanafanya hivyo ndio maana CCM mpaka leo inashirikiana na vyama kibao kote duniani.Unachokisema wakisema kwasb ya uelewa wa watu wenu bado ndogo na si kweli kuwa Mr Odinga anaingilia siasa za Tanzania ili kuleta matatizo katka ardhi hii,kumbuka hii familia ya Odinga ni sisi watz ndio tuliwasaidia huyu Raila alikuwa anakaa kwa mwl.Nyerere kabla hajaenda masomoni Ulaya kushukua degree yake ya kwanza ya uinjinia.Mimi nafuatilia sana siasa za Kenya Odinga unamsingizia. Nikweli chama chake cha ODM kina mahusiano mazuri sana na Chadema,NCCR na CUF lakini yote ni kwa ajili ya kupeana uzoefu na ujuzi wa kuendesha hizi vyama. maana hizi vyama ni wadau namba moja wa amani ata hata hapa kwetu sasa kushauri watu kuungana ni kosa?hakuna asiye jua umoja ndio nguvu na mimi nawashauri hao UKAWA nguvu yao ipo kwenye umoja na kuelekea ktk uchaguzi wasimamishe candidate moja tu kwa post ya urais,ubunge waachiana kwa kila jimbo mtu moja tu na hata udiwana na serikali ya mtaa.Hakika wakifanya hivyo story itabadilika maana watz wako tayari kwa mabadilko ila hawajaunganishwa tu ktk centre moja.
Katika kuungana watapata shida nyingi maana kawaida aliyeko madarakani hapendi umoja wa wanaompinga,lakini ni ujasiri tu,mjue kushinda uchaguzi wenu mkuu ni lazima mshinde vita ya kuwafarakanisha,sheria za tz haipendi umoja but mnawewza kukwepa ilo kwa kubaki na vyama vyenu lakini mkashirikana kawa kupata mgombea moja bora kwa kila post.YES YOU CAN