Sita na Membe masalia..LOWASA NI JEMBE MA PRESDENT 2015Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu. Je! Hii ni nguvu ya Lowassa na Rostamu?. Je! Ni kutaka kumsafisha? Je! Hafahamu mitamba anayoendelea ilianzia wapi!? Je! Dowans ilikuwa halali!?
Kachimbe na vyako, unangoja nini? halafu kajiuzie mwenyewe hayo madini yako.
Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu.
Je! Hii ni nguvu ya Lowassa na Rostamu?.
Je! Ni kutaka kumsafisha?
Je! Hafahamu mitamba anayoendelea ilianzia wapi!?
Je! Dowans ilikuwa halali!?
So Downs ilikuwa kampuni halali siyo? tume ya Mwakyembe ni wazushi!???mkuu hapa unaongelea symbion na dowans ,ukukmbuke symbion america wana maslahi lakini hawana maslahi na huyu mtu wako
Obama alipotembelea mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion.....Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?
Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.
Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.
Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.
Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.
Slaa, upo?
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Tulipinga sana waliokuwa wanashikilia bango hili, kuwa jamani, Al Adawi katowa offer, kabla ya kwenda mahakamani inunuweni, huko mtashindwa, hawakusikia.
Kinara wa kuiponda DOWANS humu JF alikuwa anaejiita Mzee Mwanakijiji, nikamuuliza kiko wapi?
Tukiwaambia humu, usicheze na biashara za Kimataifa, alijaribu Nyerere kucheza na LONRHO ya Tiny Rowlands, akadondokea pua. Hawakutusikia. Nakumbuka hata Zitto Kabwe aliwashauri wainunuwe wakamuona hafai na ni msaliti.
Chadema waliishikia bango kweli hiyo, sasa kamasi jembamba linawatoka puani. Maana kwanza aliitembelea mama Clinton, toka siku hiyo anaejiita Mzee Mwanakijiji akaufyata, sasa kaja kubwa lao, hapo naona ataongelea mvunguni, kwa hili hatutamuona hata kunusa na ufataani wake.
Mzee Mwanakijiji akamatwe na kushtakiwaTulipinga sana waliokuwa wanashikilia bango hili, kuwa jamani, Al Adawi katowa offer, kabla ya kwenda mahakamani inunuweni, huko mtashindwa, hawakusikia.
Kinara wa kuiponda DOWANS humu JF alikuwa anaejiita Mzee Mwanakijiji, nikamuuliza kiko wapi?
Tukiwaambia humu, usicheze na biashara za Kimataifa, alijaribu Nyerere kucheza na LONRHO ya Tiny Rowlands, akadondokea pua. Hawakutusikia. Nakumbuka hata Zitto Kabwe aliwashauri wainunuwe wakamuona hafai na ni msaliti.
Chadema waliishikia bango kweli hiyo, sasa kamasi jembamba linawatoka puani. Maana kwanza aliitembelea mama Clinton, toka siku hiyo anaejiita Mzee Mwanakijiji akaufyata, sasa kaja kubwa lao, hapo naona ataongelea mvunguni, kwa hili hatutamuona hata kunusa na ufataani wake.
Mzee Mwanakijiji akamatwe na kushtakiwa
Wewe una dalili zote za mtu asiye sawa kichwani; Hivi unaweza kuwaambia watu wazima mara ngapi kitu kile kile? Kama hujui msimamo wangu kuhusu Symbion katafute gazeti la Mwanahalisi Toleo la Mei 25, 2011 na usome makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari "Symbion isijiingize tope la Dowans".