Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

Wewe una dalili zote za mtu asiye sawa kichwani; Hivi unaweza kuwaambia watu wazima mara ngapi kitu kile kile? Kama hujui msimamo wangu kuhusu Symbion katafute gazeti la Mwanahalisi Toleo la Mei 25, 2011 na usome makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari "Symbion isijiingize tope la Dowans".

Hilo tope ulilokuwa ukilipaka limekuchafua mwenyewe.

Dowans wameshinda kesi ya Kimataifa mliofunguwa wenyewe, fedha wanalipwa, mitambo wameuza na ndiyo inatumika mpaka leo, hawakuwa na dhambi hata chembe kasoro ya zile mlizokuwa mnazibuni watu kama wewe. Mitambo hiyohiyo ikatembelewa na Mama Clinton na jana Kubwa Lao, Rais Barack Hussein Obama.

Kiko wapi? wewe una akili kushinda Obama?
 
Ungekuwa unajua kinachoendelea ungeinamisha kichwa kwa aibu; hivi hujiulizi ni kwanini Wamarekani ndio walikimbilia kumuokoa Kikwete? Au hujajiuliza kwanini Rostam licha ya kuwa kwenye kundi la wafanyabiashara ambao wangeonana na Obama jina lake likakatawa?
 
Ishia hapo hapo Muzee! kuna watu wameshapata matumbo ya kuhara ghafla baada ya kukusoma!
 
Tatizo Mwanakijiji ngonjera nyiiiiiingi.

We Bongo yenyewe haupo, lakini unajifanya mjuaaaaaji.

Umezoea kudanganya watu wasiokuwa na inside information about what is going on.

Mwanakijiji na Dr. Slaa akili zao zinafanana.
 
So Downs ilikuwa kampuni halali siyo? tume ya Mwakyembe ni wazushi!???

kama ni halali, kwa nini Obama asijui historia ya hiyo mitambo???
what your saying is wrong obama kama obama au america kwa ujumla wanaangalia interest zao na si ccm unayojaribu kuitetea hapa .hao walishateleza kwenye maamuzi yao wakubaliane na matokeo
 
http://eastafricatimes.blogspot.com/2013/07/obama-in-africa-lets-do-business.html
 
Ungekuwa unajua kinachoendelea ungeinamisha kichwa kwa aibu; hivi hujiulizi ni kwanini Wamarekani ndio walikimbilia kumuokoa Kikwete? Au hujajiuliza kwanini Rostam licha ya kuwa kwenye kundi la wafanyabiashara ambao wangeonana na Obama jina lake likakatawa?

Wewe mwenzangu na mie saa hizi umekushuka kwa aibu. Utabaki kutafuta pakutokea. Hivi wewe unajuwa zaidi ya Mahakama za Kimataifa? Hivi wewe unajuwa zaidi ya Clinton? Hivi wewe unajuwa zaidi ya Kikwete? Hivi wewe unajuwa zaidi ya Obama? Huna.

Wewe kaa nyuma ya laptop utunge visa vya mapenzi. Mambo ya high international circles waachie waliojaaliwa. Huwezi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom