Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?
Mwana unajidhalilisha kwa comment zako..! We judge u from what u say
 
Nyie kaeni na kijiba cha roho, mwenzenu ndio anakuja, afate nyayo za Mchina au Mtanzania.

Wachina mpaka njugu wanauza Kariakoo, nyie mnalalamikia umaskini wakati uchumi mnao mnaukalia, wacha tunaoziona fursa tujichotee kabla hamjaamka kwenye usingizi mzito.

Nyie kaeni, tutawagawia vyandarua, mkisha toka kwenye mbege mlale kwa starehe, msiliwe na mbu kesho mje tuwape kazi mkiwa wazima.

Soma hapa Why Africa matters – Global Public Square - CNN.com Blogs

halafu soma hapa :
 
Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu.

Je! Hii ni nguvu ya Lowassa na Rostamu?.
Je! Ni kutaka kumsafisha?
Je! Hafahamu mitamba anayoendelea ilianzia wapi!?
Je! Dowans ilikuwa halali!?
mbona wakati ule mambo yalipokuwa na moto kama sikosei mkuu alisema hawafahamu wenye mitambo hiyo na wala hajaongeanao. mwenye kukumbukumbu atukumbushe
 
Kumbuka pia kuwa kulikuwa kuna dhiki ya umeme na mlisha-likoroga na hao kina Al Adawi ndio wakaja ku-rescue.

Hilo la shanga na vioo ni daima. Jee, unanini cha kujivunia ambacho wewe utakibania? Kama ni madini, kachimbe na vidole, kama ni gas kachimbe na kucha, kama ni mafuta kachimbe na sururu.

Mnafikiri zile scholarship mnazopewa za bure? Tazama wangapi wanarudi?> na hao wanaorudi ujuwe hawajafanya la maana, wale wenyee maana hawawachiwi kurudi.

Nyie mnazikimbilia, kama si shanga zile ni nini? huwa mnajiona mmepata tena kuzigombania na kujisifia kwa majirani, oohh mwanangu kapata scholarship, kumbe mmeveshwa shanga bila kujijuwa wala kujitambuwa.

Bado, si kwako, hata kwa wajukuu wa wajukuu wa jukuu zako itakuwa bado.

Huko ni kukata kwako tamaa,usikatishe watu wengine tamaa.,BADO AFRICA INAWEZA IKAJIPANGA IKAPUNGUZA KADHIA HIZI AU HATA KUZIMALIZA NA KUSIMAMA YENYEWE.
 
Lowasa ni mchafu hawezi kusafishika labda kwa damu ya yesu,may be achane na siasa
 
hivi kuwaleta maraisi wanaotuletea vyandarua n kuchukua malighafi zetu hili nalo nila kujivunia?!

Mali-ghafi yako itandikie kitanda uilalie. Unaweza kuifanyia nini wewe? kaichimbe kwa kucha.
 
Kwani Slaa kaenda kwa akina nani mwezi huu??

Wakuu wa kanisa na chama cha siasa cha Kikristo, Ujerumani.

Hayi ndiyo aliyafanya Nyerere, ardhi ya Tanzania kubwa zaidi inamilikiwa na Kanisa Katoliki kuliko taasisi nyingine yoyote na ni baada ya Serikali tu.

Wana viwanja vya ndge kwenye maeneo yao, wanaingiza na kusafirisha watakacho, watu kimyaaaaa!

Eti leo anakuja Obama kwa mualiko wa Jakaya Mrisho Kikwete wanaanza kubwabwaja, wale wa makanisa kila siku wanachota wakitakacho mbona hamsemi?

Nani abishae?
 
Lowasa ni mchafu hawezi kusafishika labda kwa damu ya yesu,may be achane na siasa

Damu ya Yesu haijakusafisha wewe. Lowasa mna usongoi nae tu, kawakosa nini?

Roho za kimaskini hizo wacheni, hamtaendelea maisha kwa roho hizo, kila mnapoona mwenzenu anafanikiwa nyinyi mnaunguwa.
 
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?

wewe ndo huwatungia mashairi TOT?
 
Wewe ndio mfano wa watanzania wengi ambao hawana hamu ya kusoma soma ili kujiridhisha na uelewa wao.....SOMBION ni kampuni la Marekani la ukweli linalojihusisha na uzalishaji umeme, kumbuka miaka si mingi Tanzania itakua nchi yenye uwezo wa kuzalisha umeme wa kinyukilia kutokana na uwepo wa hazina kubwa ya madini hayo nchini...Marekani wana tambua umuhimu wa uwepo wa nguvu za umeme unaleta maendeleo na wanataka madini hayo yasitumike ndivyosivyo ndo maana Simbion haukusita kuichukua Dowans....Rostam ni raia wa Iran.... na pia anajihusisha na umiliki wa madini hayo akisingizia ni mzalishaji umeme kumbe nia ni kuipeleka kwao itumike ajuavyo yeye....sasa uzalishaji wote wa uranium utaeleweka na matumozi yake yatafahamika pia.

Kuhusu Kikwete..... kwani wageni hawa wanakuja kumtembelea nyumbani kwake? Au Tanzania? tuseme hawa marais wa Marekani wanaalikwa na serikali ya Tanzania? Au wanaleta maombi ya kututembelea wao wenyewe? Hivi serikali ya Kikwete isiyokuwa hata na mishahara ya kutosha kwa wafanyakazi wake ndio iwe na uwezo wa kumwalika rais wa Marekani? acha kutojua mambo ndugu soma uelimike usipaparike..... nyie ndio mnaodhani uongozi ni bla bla za uswahili.... Uswahili haujawahi kutawala au kuwa na tawala uswahili ni lugha tu na huku kutawaliwa kwetu na waswahili wasiojua kutawala ndio hapa tumefika
 
Wakuu wa kanisa na chama cha siasa cha Kikristo, Ujerumani.

Hayi ndiyo aliyafanya Nyerere, ardhi ya Tanzania kubwa zaidi inamilikiwa na Kanisa Katoliki kuliko taasisi nyingine yoyote na ni baada ya Serikali tu.

Wana viwanja vya ndge kwenye maeneo yao, wanaingiza na kusafirisha watakacho, watu kimyaaaaa!

Eti leo anakuja Obama kwa mualiko wa Jakaya Mrisho Kikwete wanaanza kubwabwaja, wale wa makanisa kila siku wanachota wakitakacho mbona hamsemi?

Nani abishae?

Nilijua wewe ni mdini .... kumbuka CUF walikunja Ngumi walipoambiwa Liberal Democrats wanaunga mkono ushoga .... kwa tafsiri yao wakasema wanashirikiana nao lakini hawaamini katika ushoga .... nikufahamishe tu .... Ujerumani kuna Dini nyingi ukiwepo Uislam wako na CD walishatawala Ujerumani kwa sana tu soma historia ujiridhishe ... na hata kwa tafsiri ya CUF, km CD(Christian Democrats) ni wadini CDM wanashirikiana nao lakini hawaamini ktk udini waCD au na hilo haulitaki?

Wewe ndio mbumbu mzungu wa Reli, km Nyerere angetaka kanisa katoliki limilikishwe ardhi kwa umiliki wa viwanja hii sera ya ardhi kuwa mali ya serikali ingekuwepo? Tanzania ndio nchi pekee ardhi siyo mali ya mtu Bali serikali ... hivi elimu yako inakusaidia kweli au inakujengea maudhi yasiyo na mipaka....!
Haluna kiwanja binafsi cha ndege ambako hakuna maofisa wa serikali wa uhamiaji, national aviation, tra n.k. wewe unadhani ukiwa na kiwanja chako basi serikali haijui kiwanja hicho kinatumika vipi? aaaah! yaani kujadiliana na watu km nyie inabidi kwanza utoe mafundisho husika ndio ujenge hoja manake hata mambo ya msingi kabisa hua hawayajui....!
 
Mali-ghafi yako itandikie kitanda uilalie. Unaweza kuifanyia nini wewe? kaichimbe kwa kucha.

kwa hiyo hao wenye vifaa vya kuchimbia walizaliwa navyo, mnalaza sana akili zenu bana.
 
Nilijua wewe ni mdini .... kumbuka CUF walikunja Ngumi walipoambiwa Liberal Democrats wanaunga mkono ushoga .... kwa tafsiri yao wakasema wanashirikiana nao lakini hawaamini katika ushoga .... nikufahamishe tu .... Ujerumani kuna Dini nyingi ukiwepo Uislam wako na CD walishatawala Ujerumani kwa sana tu soma historia ujiridhishe ... na hata kwa tafsiri ya CUF, km CD(Christian Democrats) ni wadini CDM wanashirikiana nao lakini hawaamini ktk udini waCD au na hilo haulitaki?

Wewe ndio mbumbu mzungu wa Reli, km Nyerere angetaka kanisa katoliki limilikishwe ardhi kwa umiliki wa viwanja hii sera ya ardhi kuwa mali ya serikali ingekuwepo? Tanzania ndio nchi pekee ardhi siyo mali ya mtu Bali serikali ... hivi elimu yako inakusaidia kweli au inakujengea maudhi yasiyo na mipaka....!
Haluna kiwanja binafsi cha ndege ambako hakuna maofisa wa serikali wa uhamiaji, national aviation, tra n.k. wewe unadhani ukiwa na kiwanja chako basi serikali haijui kiwanja hicho kinatumika vipi? aaaah! yaani kujadiliana na watu km nyie inabidi kwanza utoe mafundisho husika ndio ujenge hoja manake hata mambo ya msingi kabisa hua hawayajui....!

Mali ya Serikali au si ya Serikali, ukipewa hati miliki sijui maana yake ni nini? shule yako naona imekusaidia kukujaza ubaguzi wa ujinga.

CD? CDM? Padre?
 
Wewe ndio mfano wa watanzania wengi ambao hawana hamu ya kusoma soma ili kujiridhisha na uelewa wao.....SOMBION ni kampuni la Marekani la ukweli linalojihusisha na uzalishaji umeme, kumbuka miaka si mingi Tanzania itakua nchi yenye uwezo wa kuzalisha umeme wa kinyukilia kutokana na uwepo wa hazina kubwa ya madini hayo nchini...Marekani wana tambua umuhimu wa uwepo wa nguvu za umeme unaleta maendeleo na wanataka madini hayo yasitumike ndivyosivyo ndo maana Simbion haukusita kuichukua Dowans....Rostam ni raia wa Iran.... na pia anajihusisha na umiliki wa madini hayo akisingizia ni mzalishaji umeme kumbe nia ni kuipeleka kwao itumike ajuavyo yeye....sasa uzalishaji wote wa uranium utaeleweka na matumozi yake yatafahamika pia.

Kuhusu Kikwete..... kwani wageni hawa wanakuja kumtembelea nyumbani kwake? Au Tanzania? tuseme hawa marais wa Marekani wanaalikwa na serikali ya Tanzania? Au wanaleta maombi ya kututembelea wao wenyewe? Hivi serikali ya Kikwete isiyokuwa hata na mishahara ya kutosha kwa wafanyakazi wake ndio iwe na uwezo wa kumwalika rais wa Marekani? acha kutojua mambo ndugu soma uelimike usipaparike..... nyie ndio mnaodhani uongozi ni bla bla za uswahili.... Uswahili haujawahi kutawala au kuwa na tawala uswahili ni lugha tu na huku kutawaliwa kwetu na waswahili wasiojua kutawala ndio hapa tumefika

Unashangazwa na Roast Tamu aliyezaliwa Igunga? Tabora!

Vipi Symbion? ni raia wa wapi?

Wewe ndio wale mliojazwa ubaguzi wa ujinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom