sondewanjara
Member
- Jun 5, 2013
- 49
- 3
Huyo obama hata afanyeje lowasa na rostam hawasafishiki hata wakipelekwa kiwanda cha omo wao ndo wakawa material
Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.
Slaa, upo?
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?
Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.
Jee, zile fitna za
Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiw
Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.
Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.
Slaa, upo?
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?
Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.
Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Na kisha nchi yake ikafaidi nini? Mikataba ya shanga huku yeye akinunuliwa suti?!....Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani....
We nae kituko!!!Eti bila jasho???Soni huna!,Mtu anatupatupa mali kama akina Mangungo wewe unakenua na kupiga vigelegele."kumbuka {shanga na vioo = chandarua na dawa za malaria}.
Na kisha nchi yake ikafaidi nini? Mikataba ya shanga huku yeye akinunuliwa suti?!
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?
Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.
Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.
Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.
Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.
Slaa, upo?
we jamaa huna akili... yaani raisi anabadilisha madini na vyandarua wewe unamwona mjanja? umesahau yule twiga wetu aliyepandishwa ndege? umesahau tulivyowahonga wachina gesi yetu ili mtoto wa raisi asiuwawe kwa kukamatwa na madawa ya kulevya china? umesahau deep green na kagoda ambayo bungu liliambiwa lisijadili kwa kuwa ni mambo ya usalama? umesahau richmond ambayo lowassa ameshakiri kuwa walishirikiana na bwana mkubwa? umeshau bwana mkubwa alivyopewa rushwa ya suti na kuwasaliti watanzania juu ya mali zao? USISAHAU HISTORIA BABA/MAMA!
Vyombo vyao(USA) vinaandika anafwata nyayo za wachina. Wewe unaleta UPINDA hapa?
Eti kaalikwa nyoooooooo
Duuh nimeamini bado watu wana fikra duni ila bora mmejiunga humu mtapunguza uvivu wa kufikir kidogo...mwingine hajui chochote ili mradi ameandika tu kisa halipii kodi..eti "mitambo ya symbion ndo iliyokuwa richmond" huyu mtu hawez kuwa timam
Hawaletwi na Kikwete wewee, huko kwao wapo wenye sura nzuri kuliko yeye, kinachowaleta ni Gas na Uranium yetu ya chee, watavipata kwa kutupatia vyandarua na vijisenti kidogo tu baas!!
Huo ndio upuuzi wooote ulioko kichwani kwako!!!!! Kaaaazi kweli kweli!!!!
Mzee Mwanakijiji. ni janga la taifaHiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?
Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.
Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.
Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.
Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.
Slaa, upo?
Sijui nikuweke kwenye kundi gani la uwezo wa kufikiri... Uwezo wako mdogo sana, au unafanya haya kama mchango wako kwenye Lumumba project. Kama vipi rudi darasani ukasome historia na namna nchi yetu ilivyoingia kwenye ukoloni mkongwe. Baada ya hapo ubongo wako utaweza kufikiri hila za wazungu katika nchi za dunia ya tatu!
Ulitawaliwa na wakoloni kwa shanga na vioo, sasa unatawaliwa na wakoloni kwa pombe na ulevi. Kama unabisha tazama ulovyojaziwa viwanda vya pombe, unaletewa mpaka viroba ili usipate taabu ya kunywa na kuvibeba, pombe rahisi kuliko nchi yoyote duniani. Ukishalewa chukuwa chandarua ulale usingizi mnono.
Kalgabaho.