Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

Zomba, mbona unang'ata na kupuliza unaogopa kung'olewa kucha, meno bila ganzi?

Hakuna cha kung'ta na kupuliza. kuna watu humu kazi yao kalalamika tu, hawaoni, hawasikii, wamelala usingizi mnono, na tutawaongezea vyandarua.

Hawaioni mi fursa iliyojaa Tanzania, wao kazi kulalamika tu.

Wajinga ndio waliwao.
 
Marais wengine hawakuwaleta lakini.mikataba yote yakibwege waliingia wao. Ila mikataba ya Jk yote ua wazi na tunaijua. Kumbe Rais asipowaleta wageni hapa ndo mjanja? Huyo ayakua mijinga hataki kuitangaza nchi kwa wawekezaji. Ujio wa obama Dunia nzima wataijua tanzania na lazima watajua tanzania kuna kitu ndo maana kaja. So investors kibao watakuja ambao sio uchwara. Muhimu mikataba iwe wazi na sisi tujue kinachofanyika.

kuja rais siyo ishu mbona rais wa china alikuja kusaini mikataba zaidi ya 20 bila wananchi kujua hiyo mikataba inahusu nini, kuna tofauti gani na hao wanaosainia huko nje?
 
Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu.

Je! Hii ni nguvu ya Lowassa na Rostamu?.
Je! Ni kutaka kumsafisha?
Je! Hafahamu mitamba anayoendelea ilianzia wapi!?
Je! Dowans ilikuwa halali!?

Heee! symbion na dowans wapi na wapi jamani,kweli mtu akimpenda mtu anapoteza hata uwezo wake wa asili wa kufikiri,lowassa na rostam hawasafishiki tena jamani,kwa jitihada na fedha wanazotumia kwa wanahabari wangekua wameshatakata long time!
 
Heee! symbion na dowans wapi na wapi jamani,kweli mtu akimpenda mtu anapoteza hata uwezo wake wa asili wa kufikiri,lowassa na rostam hawasafishiki tena jamani,kwa jitihada na fedha wanazotumia kwa wanahabari wangekua wameshatakata long time!

Inaonesha umelala na chandarua kipya, soma hapa:

Judica Tarimo

US-based energy firm Symbion Power yesterday concluded and signed a deal for full acquisition of the Dowans power plant that has lain idle at Ubungo Tanesco compound for quite some time.
"We are done…from now the plant will be called Symbion power plant and not Dowans," Chief Executive Officer of Symbion Power, Paul Hinks told a press conference after the official conclusion of prolonged negotiations between the US firm and Dowans company on the purchase deal.
"Both parties have signed an agreement for the acquisition of the 120MW power plant. The property is ours," said Hinks, alluding to the next stage of activating the plant to help ease the serious power crisis affecting the country.
Source: Symbion takes over Dowans power plant Purchase deal clinched at USD 120m

Na hapa kama Kiingereza hakipandi:


Wamarekani wanunua mitambo Dowans


# 0

by Jukwaa Huru | Posted on May 21, 2011 by Jukwaa Huru
29 Views

KAMPUNI ya Marekani ya Symbion Power LLC iliyonunua mitambo ya kuzalisha umeme ya kampuni ya Dowans Holdings SA na Dowans Tanzania Ltd yenye uwezo wa kuzalisha megawati 120 za nishati hiyo, iko katika hatua za mwisho kuwasilisha mapendekezo ya kuingia mkataba na Shirika la Umeme (TANESCO). Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na viongozi wakuu wa kampuni hiyo wakati walipozungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es Salaam kutoa taarifa rasmi ya kuinunua mitambo hiyo.

Source: Wamarekani wanunua mitambo Dowans - Jukwaa Huru
 
Huyo obama hata afanyeje lowasa na rostam hawasafishiki hata wakipelekwa kiwanda cha omo wao ndo wakawa material

Mnabaki kulalama, kwa chuki tu. Dhambi iko wapi?

Kuna zaidi ya mchungaji kuchukuwa mke wa mtu?
 
Kumbuka pia kuwa kulikuwa kuna dhiki ya umeme na mlisha-likoroga na hao kina Al Adawi ndio wakaja ku-rescue.


Hilo la shanga na vioo ni daima. Jee, unanini cha kujivunia ambacho wewe utakibania? Kama ni madini, kachimbe na vidole, kama ni gas kachimbe na kucha, kama ni mafuta kachimbe na sururu.

Mnafikiri zile scholarship mnazopewa za bure? Tazama wangapi wanarudi?> na hao wanaorudi ujuwe hawajafanya la maana, wale wenyee maana hawawachiwi kurudi.

Nyie mnazikimbilia, kama si shanga zile ni nini? huwa mnajiona mmepata tena kuzigombania na kujisifia kwa majirani, oohh mwanangu kapata scholarship, kumbe mmeveshwa shanga bila kujijuwa wala kujitambuwa.

Bado, si kwako, hata kwa wajukuu wa wajukuu wa jukuu zako itakuwa bado.

Poor zomba !
 
kuna mmojawetu ana ten percent kwenye hii ziara , maana mapovu yanayomtoka si bure !
 
Hujawahi sikia kuna watoto wa nje ya ndoa na wanaharalishwa kuwa wanafamilia? au unataka sema watoto wa nje ya ndio sio binadamu mwenzio? Richmond tatizo halikuwa mitambo,tatizo lilikuwa ni utaratibu ulitumika kuwapata hao........

Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu.

Je! Hii ni nguvu ya Lowassa na Rostamu?.
Je! Ni kutaka kumsafisha?
Je! Hafahamu mitamba anayoendelea ilianzia wapi!?
Je! Dowans ilikuwa halali!?
 
zomba, endelea kutoa darsa.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?

hivi kuwaleta maraisi wanaotuletea vyandarua n kuchukua malighafi zetu hili nalo nila kujivunia?!
 
Hao Jamaa hata Waje Malaika kuwasafisha Somo lao kwangu halitaingia...
 
vyombo vya habari bongo vya ajabu sana! ilipokuwa dowans na inamilikiwa na mwarabu. kila kukicha ndiyo ilikuwa mada. alipotia mguu mmarekani (symbion) kimya! chezea waandishi wa bongo ww
 
Nchi yangu Tz umekosa wa kukutetea eti wezi wako leo wananyenyekewa na kupigiwa mizinga huku wakiondoka na kukuacha patupu ..viongozi nao wamegeuzwa mazuzu huku wakijua kabisa utajiri wako unachukuliwa mchana kweupe
 
si walisema ile mitambo ni fake,haifai?

DR Rashidi alisema Tanesco inunue mitambo hii iwe ya kwetu.

Wabunge wenu sasa, ooooh mitambo mitumba mitumbaaa imechokaa imechokaaa, serikali haiwezi kununua mitambo chakavu!

Sasa hiyo hiyo mitambo mitumba imenunuliwa na watu wenye akili zao na mtaendeleo kuilipia kwa kukodisha miaka milioni.

Ndio tukome kabisa kapayuka hovyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom