Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

Haki iko kama Boya, kila utakavyojaribu kuizamisha, ujue itaibuka tu, kwa namna moja au nyingine!
 
Mimi ningemshauri Wa-jina asikubali kudhalilishwa wakati ana profession yake inayoeleweka ambayo inaweza kumfanya akayamudu maisha tu kwa uzuri badala ya kuendelea kuishi kinafiki kwa kusifu hata kile kisichostahili kusifiwa ili tu apate umaarufu wa kisiasa na kuwa mshirika wa wale wanaowafanya nduguze waishi maisha mabovu na ya kubahatisha kupitia CCM.
 
kumbe naye anaitwa Said? Sio Hamisi?
 
Mimi ningemshauri Wa-jina asikubali kudhalilishwa wakati ana profession yake inayoeleweka ambayo inaweza kumfanya akayamudu maisha tu kwa uzuri badala ya kuendelea kuishi kinafiki kwa kusifu hata kile kisichostahili kusifiwa ili tu apate umaarufu wa kisiasa na kuwa mshirika wa wale wanaowafanya nduguze waishi maisha mabovu na ya kubahatisha kupitia CCM.

Acha kujipendekeza utaolewa bure!
 
Nimeona some of his comments jana na juzi......................... I reserve my comments!!!
 
Atajiudhuru wapi huo ni mkwra tu hana lolote,hapo anajaribu kupima upepo tu.
 
Huyu angetakiwa ajiuzulu siyo kusema ni kwamba angetoka rumande tu na angeachia ngazi,sisi wengine tungejua cha kufanya hapo. Eti anataka kujiuzulu wakati hataki,kweli huyu ni single yake hiyo anaweka sokoni,gamba hilooooooooo!!!!
 
Mh kigwangala namfahamu, wakati nipo 1st year pale Muhimbili yeye alikuwa ni intern pale nakumbuka yeye ndo alikuwa kiongozi wa mgomo ule uliotikisa Taifa wa Madaktari 2005: kwahiyo uanaharakati haukuanza jana ila alinza zamani. Na mpaka sasa madr tunanunafuu kidogo ukilinganisha na kipindi kile. Mwaka 2005 Dr alikuwa analipwa laki 200 mshahara baada ya ule mgomo mshahara ulipanda kwa 100% ingawa bado ulikuwa mdogo. Toka hapo umeendelea kupanda. Then kwa mabadiliko ya kipindi kile yaiongozwa na yeye na waliongoza pia kumtoa mkurugenzi wa MNH kipindi kile aliyeitwa Tregonin pia wakisaidiana na MAT nilishuhudia waziri mkuu kipindi kile Sumaye akigomewa live na madaktari na manesi wakimzomea. Kwa hiyo tusimbeze ameanza zamani uanaharakati na kashaleta mabadiliko ambayo tunayakumbuka sekta ya afya. Baada ya ule mgomo yeye pamoja na mkti wa kipindi kile alikuwa wa mbeya simkumbuki jina walifungiwa leseni zao na walikaa miezi kadhaa bila kazi na baadaye iliwapelekea kwenda kwa Mh. Sumaye na kuomba msamaha na walionyeshwa na television ya taifa enzi hizo TvT na baadaye wakasamehewa na kuendelea kuhudumia jamii. Mi naomba tusimbeze sana sema baada ya hapo alienda kuibukia ccm ambako sikuona kama ni sahihi sana kwake hasa ktk kipindi hiki cha mageuizi naomba tumuunge mkono na akiweza ajiuzulu ili tutetee haki za wananchi vema. Nipo tayari kurekebishwa mi sina uhusiano wowote na Kigwangala zaidi ya kuwa tumesoma chuo kimoja na tupo chini ya wizara moja.
 
Huyu Kigwa kumbe mwepeeeesi! Yaani angepata hata robo ya misukosuko ya Lissu si angekua ameshajipiga hata kitanzi kisiasa. Yaani kukaa rumande tusiku tuchache tu hizo kelele zoooote hizo. Tatizo hapa anajiuliza inakuaje mbunge wa magamba anawekwa rumande yaani hilo tu ndio tatizo linaloisumbua akili yake
 
Heshima yenu wakubwa,
Mbunge wa Nzege, kupitia ccm, Dr H. Kingwangala baada ya kusota Rumande kwa siku kadhaa kutokana na mapambano anawezakujizu......
Katika yote nashukuru kwa yeye naye kusekwa lupango, siku nyingine akisikia wabunge wa upinzani wapo huko atajua machungu yake! Kuhusu kujuizulu hizo ni stori za kusadikika tu....
 
Mh kigwangala namfahamu, wakati nipo 1st year pale Muhimbili yeye alikuwa ni intern pale nakumbuka yeye ndo alikuwa kiongozi wa mgomo ule uliotikisa Taifa wa Madaktari 2005: kwahiyo uanaharakati haukuanza jana ila alinza zamani. Na mpaka sasa madr tunanunafuu kidogo ukilinganisha na kipindi kile. Mwaka 2005 Dr alikuwa analipwa laki 200 mshahara baada ya ule mgomo mshahara ulipanda kwa 100% ingawa bado ulikuwa mdogo. Toka hapo umeendelea kupanda. Then kwa mabadiliko ya kipindi kile yaiongozwa na yeye na waliongoza pia kumtoa mkurugenzi wa MNH kipindi kile aliyeitwa Tregonin pia wakisaidiana na MAT nilishuhudia waziri mkuu kipindi kile Sumaye akigomewa live na madaktari na manesi wakimzomea. Kwa hiyo tusimbeze ameanza zamani uanaharakati na kashaleta mabadiliko ambayo tunayakumbuka sekta ya afya. Baada ya ule mgomo yeye pamoja na mkti wa kipindi kile alikuwa wa mbeya simkumbuki jina walifungiwa leseni zao na walikaa miezi kadhaa bila kazi na baadaye iliwapelekea kwenda kwa Mh. Sumaye na kuomba msamaha na walionyeshwa na television ya taifa enzi hizo TvT na baadaye wakasamehewa na kuendelea kuhudumia jamii. Mi naomba tusimbeze sana sema baada ya hapo alienda kuibukia ccm ambako sikuona kama ni sahihi sana kwake hasa ktk kipindi hiki cha mageuizi naomba tumuunge mkono na akiweza ajiuzulu ili tutetee haki za wananchi vema. Nipo tayari kurekebishwa mi sina uhusiano wowote na Kigwangala zaidi ya kuwa tumesoma chuo kimoja na tupo chini ya wizara moja.

What is your point?
 
Wizara ipi wakati mwenziyo ni mbunge? Unajua kabla ya ubunge alikuwa mwajiriwa wapi?
 
Back
Top Bottom