Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

Nzega: Risasi zatumika kumuokoa Mbunge Kigwangalla

Mh kigwangala namfahamu, wakati nipo 1st year pale Muhimbili yeye alikuwa ni intern pale nakumbuka yeye ndo alikuwa kiongozi wa mgomo ule uliotikisa Taifa wa Madaktari 2005: kwahiyo uanaharakati haukuanza jana ila alinza zamani. Na mpaka sasa madr tunanunafuu kidogo ukilinganisha na kipindi kile. Mwaka 2005 Dr alikuwa analipwa laki 200 mshahara baada ya ule mgomo mshahara ulipanda kwa 100% ingawa bado ulikuwa mdogo. Toka hapo umeendelea kupanda. Then kwa mabadiliko ya kipindi kile yaiongozwa na yeye na waliongoza pia kumtoa mkurugenzi wa MNH kipindi kile aliyeitwa Tregonin pia wakisaidiana na MAT nilishuhudia waziri mkuu kipindi kile Sumaye akigomewa live na madaktari na manesi wakimzomea. Kwa hiyo tusimbeze ameanza zamani uanaharakati na kashaleta mabadiliko ambayo tunayakumbuka sekta ya afya. Baada ya ule mgomo yeye pamoja na mkti wa kipindi kile alikuwa wa mbeya simkumbuki jina walifungiwa leseni zao na walikaa miezi kadhaa bila kazi na baadaye iliwapelekea kwenda kwa Mh. Sumaye na kuomba msamaha na walionyeshwa na television ya taifa enzi hizo TvT na baadaye wakasamehewa na kuendelea kuhudumia jamii. Mi naomba tusimbeze sana sema baada ya hapo alienda kuibukia ccm ambako sikuona kama ni sahihi sana kwake hasa ktk kipindi hiki cha mageuizi naomba tumuunge mkono na akiweza ajiuzulu ili tutetee haki za wananchi vema. Nipo tayari kurekebishwa mi sina uhusiano wowote na Kigwangala zaidi ya kuwa tumesoma chuo kimoja na tupo chini ya wizara moja.

Yoote sawa isipokuwa tu ....Kigwangalla yupo CCM, je ni wizara moja na wewe au huko Bungeni ni wizara ya Afyai ?
 
Mh kingwangala ushauli wa bule huwezi ukatetea haki za wanyonge wakati upo kwenye mfumo na washilika kibao ambao ni wakandamizaji unategemea nani akusuport ni ngumu sana the only option uachane na siasa au uhamie kwenye chama chenye dhana ya kweli ya kiukombozi.
 
Wanafiki tu hawa,kama kweli anania hiyo si atwkeleze kwa vitendo?anabwabwaja nini saaa.Chukuamaamuzi magumu,jivue gamba
 
haitakaa itokee dr kingagula anatafuta namna ya kutoka! Hii ni single yake sokoni

nibebebee nibeebeeee nibembeleze nimebebe ee kingangula nibebebe mikoni mwako nifike salama

aisee naona jamaa kaona aingarishe single yake live jamani msiache kuinunua yawezekana ina ujumbe
 
Hivi alikuwa hajuui kuwa ccm & Serikali yake hawajui dhana ya kuwatumikia wananchi wa Tz? Au ni mpaka maslahi yake yaguswe ndo ashtuke? Mi naona ni gia yake nyingine katika harakati zake shadidi za kuchumia tumbo.
 
Heshima yenu wakubwa,
Mbunge wa Nzege, kupitia ccm, Dr H. Kingwangala baada ya kusota Rumande kwa siku kadhaa kutokana na mapambano yake amewashtua mamia ya wananchi wake kwa kuwaeleza kuwa anawezakujizulu ubunge wakati wo wote kama serikali haitasaidia harakati za kuwatetea wananchi wanyonge ktk jimbo hilo.
kingwangala alipoulizwa, alimthibitishia mwandishi wa mwanahalisi kwa kujibu,

Ndiyo, Nimewaambia wananchi kuwa kama serikali haitanisikiliza ktk juhudi za kuwatetea wananchi wanyonge ktk jimbo hili, nitajiuzulu.
Ubunge si kazi, ni utumishi, huwezi kung'ang'ania kama hupati fursa ya kwatumikia wananchi waliokuchagua.
Nilishasema kwamba ktk matatizo yanayowahusu wananchi, nitasimama na wananchi.

Dr Kingwangala alitoa kauli hiyo baada ya mahakama mjini Nzega kumwachia kwa dhamana yeye pamoja na watu wengine 3, kutokana na tafrani iliyotokea ktk mgodi wa dhahabu ulioko jimboni humo.

My take,
Mwanzo wa mwisho wa ccm umefika?

Bado kido utailewa vizuri CCM, be careful, ikibidi sepa mampema kabla hujaenda India kutibiwa.
 
Nashukuru kwa kunirekebisha yaani tulikuwa chin ya wizara ya afya, mimi bado nipo wizara ya afya. CCM sio wizara
 
Mh kigwangala namfahamu, wakati nipo 1st year pale Muhimbili yeye alikuwa ni intern pale nakumbuka yeye ndo alikuwa kiongozi wa mgomo ule uliotikisa Taifa wa Madaktari 2005: kwahiyo uanaharakati haukuanza jana ila alinza zamani. Na mpaka sasa madr tunanunafuu kidogo ukilinganisha na kipindi kile. Mwaka 2005 Dr alikuwa analipwa laki 200 mshahara baada ya ule mgomo mshahara ulipanda kwa 100% ingawa bado ulikuwa mdogo. Toka hapo umeendelea kupanda. Then kwa mabadiliko ya kipindi kile yaiongozwa na yeye na waliongoza pia kumtoa mkurugenzi wa MNH kipindi kile aliyeitwa Tregonin pia wakisaidiana na MAT nilishuhudia waziri mkuu kipindi kile Sumaye akigomewa live na madaktari na manesi wakimzomea. Kwa hiyo tusimbeze ameanza zamani uanaharakati na kashaleta mabadiliko ambayo tunayakumbuka sekta ya afya. Baada ya ule mgomo yeye pamoja na mkti wa kipindi kile alikuwa wa mbeya simkumbuki jina walifungiwa leseni zao na walikaa miezi kadhaa bila kazi na baadaye iliwapelekea kwenda kwa Mh. Sumaye na kuomba msamaha na walionyeshwa na television ya taifa enzi hizo TvT na baadaye wakasamehewa na kuendelea kuhudumia jamii. Mi naomba tusimbeze sana sema baada ya hapo alienda kuibukia ccm ambako sikuona kama ni sahihi sana kwake hasa ktk kipindi hiki cha mageuizi naomba tumuunge mkono na akiweza ajiuzulu ili tutetee haki za wananchi vema. Nipo tayari kurekebishwa mi sina uhusiano wowote na Kigwangala zaidi ya kuwa tumesoma chuo kimoja na tupo chini ya wizara moja.

Kama alienda kumuomba Sumaye msamaha, alieleza alikosa nini? Hatrudi tena ccm kuomba msamaha kwa kutishia kujiuzulu?

Haaminiki!
 
Nashukuru kwa kunirekebisha yaani tulikuwa chin ya wizara ya afya, mimi bado nipo wizara ya afya. Nashukuru kama mnipata point yangu kuliko ukiangalia makosa kila mtu huwa anakosea. No one is perfect except God na ndiyo maana nikasema nipo tayari kurekebishwa. Have a nice time
 
Cdm bwana, akigombana na Bashe wanamponda leo anagombana na CCM wanamuona Lulu, Kweli Cdm akiri zao kama kuku.
 
Never say never wandugu, kwani hakuna kisicho wezekana chini ya jua.
 
Anawanga mchana huyo na kisha anapotezea kama jina lake - Dr. King - wanga - la. Mtamwona tu baada ya muda atapotezea.
 
nibebebee nibeebeeee nibembeleze nimebebe ee kingangula nibebebe mikoni mwako nifike salama

aisee naona jamaa kaona aingarishe single yake live jamani msiache kuinunua yawezekana ina ujumbe

Ha ha ha ha haaaaa haaaaaaaaaaaaaaaa! Nimecheka sina mbavu. Haya tena singo hiyo iko hewani kwa bei poa.
 
hana ujanja huo, jiulize kwanza aliupataje ubunge au alitumia njia ipi kuupata?
 
Kujiuzulu siyo ufumbuzi wa matatizo, ajenge hoja apambane tuone matunda yake. Anatangaza kushindwa hata mapambano hayajaanza !!!!
 
Cdm bwana, akigombana na Bashe wanamponda leo anagombana na CCM wanamuona Lulu,

Kweli Cdm akiri zao kama kuku.

Taratibu Mkuu! Kwa mtu mwenye akili timamu atakuona wewe ndio mwenye akili kama za kuku! Maana umeshindwa kutumia busara kuonesha hisia zako. Huo ni udhaifu wa ufanyaji kazi wa ubongo!
 
Back
Top Bottom