VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
wananchi wanashuhudia Mbunge wao wanayetegemea awasaidie kufuatilia suala lao anapigwa mawe na muwekezaji na wafanyakazi wake, gari yake inavunjwa vioo na kuharibiwa sura, na kisha Mbunge wao na viongozi wengine wa serikali yao wanawekwa ndani
Regards,
HK.
Mkuu welcome aboard to the really Tanzania, nadhani wananchi wameshachoka na kinachowaumiza sana sio wewe kupigwa waka kufungwa bali wenyewe kudhulumiwa na kupigwa na maisha magumu kila siku..
Huenda kupigwa kwako na wewe utaonja siri ya kata ambayo mtungi ndio unajua..., welcome to the really world na sio mbunge tu ambae hastahili kunyanyaswa wala kufungwa ni binadamu yoyote binadamu wote ni sawa (na nyie waheshimiwa mkisahau hili huenda uchaguzi ujao mkawa mnaangalia kutoka pembeni), Tetea wananchi wako waliokupeleka hapo na kupigwa na kulala ndani kusikuzuie kina Mandela wangeogopa ndani sijui kama leo tungewajua.., tena wewe bora una gari lililopigwa mawe sisi huku machinga hata gari hatuna huwa tunapigwa mabomu ya machozi na kumwagiwa maji ya washawasha