Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,189
- 54,544
Ndiyo Ukweli WenyeweWanazo nyingi acha zipunguzwe
Ndiyo Ukweli WenyeweWanazo nyingi acha zipunguzwe
kuna jamaa nilisoma nae tulimfahamu kua ni mtoto wake, jamaa alifanana nae sana ila inawezekana alikua ni mdogo wake au mtoto wa kaka yake.Tulizonazo hakubahatika kupata mtoto wa kwake mwenyewe. Huyo ni wa dadake mdogo au mkubwa kitu kama hicho.
Hapana, kipindi cha mama akiwa msaidizi wa mazwazwaKipindi cha mazwazwa au kipi?
Nadhani kuna matangazo mawili humu JF on this issue. Mie sioni hilo jina la Anne kwenye hiyo column usemayo! Worse yule Spika Mstaafu anaitwa Anna siyo Anne! Anyway tunajisemea tu, wao na wadai ndiyo wanalijua hili zaidi AU SIYO!?Jina la mdaiwa Anne...column ya pili
Sasa nimeiliona jina hilo! AsanteColumn yapili..Jina la mdaiwa
....
Ambacho siyo kipindi cha mazwazwa gaidi yupo ndaniKipindi cha mazwazwa au kipi?
Ni single mother.Halafu ana mtoto mmoja tu tena Binti. Majumba mengi ya Nini?
Duuu hadi ya mabatini Jirani uku ..haiwezi kuiachia ya MabatiniPesa zake zinaishia kwa waganga,mikopo kila sehemu,bado nyumba ya kijitonyama polisi mabatni kila siku watu wa bank wanakuja
Kwani hana watoto?Duh inashangaza speaker mstaafu kuishi kwa madeni na hana watoto
Angepambania wakulima kutafutiwa masoko mazuri ya kuuzia mazao yao ingependeza.Huyu Mama akiwa spika...alipigania marupurupu yao hadi yakapanda mara mia....
Aliwahi sema wabunge ni very frustrated group! Sijawahi sahau hii kauli.
Hata wakiziuza zote nado kana fedha nyingi sanaHuyu mama sijui anapigagaje hesabu zake. Anapenda mamikopo sana, hawa ni Azania wamemning'inia na NBC wanamdai kila siku wanataka kupiga mnada nyumba yake anawapooza.
Yaani mtanzania akipata ka nafasi tu anakimbilia kwenye nyumba na viwanja....
Rudi shuleni (English medium)Ukisoma hilo gazeti, Anna ndiye mdai, anamdai Tony Makinda, mtoa post kaamua kubadilisha mada.
Watu hudai hana mara anaye, I'm not sure kwa kweliKwani hana watoto?
Mkuu kwani mikopo yake haikuwa bima au ilikuwa mikopo ya biashara???Huyu mama sijui anapigagaje hesabu zake. Anapenda mamikopo sana, hawa ni Azania wamemning'inia na NBC wanamdai kila siku wanataka kupiga mnada nyumba yake anawapooza.
Ianzishwe tozo kumlipia jamani