Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

Yaani mtanzania akipata ka nafasi tu anakimbilia kwenye nyumba na viwanja....utafikiri ataishi milele
Ifikie pahali serikali ijenge majumba mengi ya ukubwa tofauti mchi nzima(national housing)halafu zipangishwe kwa gharama za chini sana ili kama Europe kuwafanya wananchi kufikiria ktk mambo mengine ya maendeleo kama afya na elimu.hii itapunguza hata wizi serikalini.
 
Huyu Mama akiwa spika...alipigania marupurupu yao hadi yakapanda mara mia....

Aliwahi sema wabunge ni very frustrated group! Sijawahi sahau hii kauli.
Angepambania wakulima kutafutiwa masoko mazuri ya kuuzia mazao yao ingependeza.
 
Huyu mama sijui anapigagaje hesabu zake. Anapenda mamikopo sana, hawa ni Azania wamemning'inia na NBC wanamdai kila siku wanataka kupiga mnada nyumba yake anawapooza.
Hata wakiziuza zote nado kana fedha nyingi sana
 
Huyu mama sijui anapigagaje hesabu zake. Anapenda mamikopo sana, hawa ni Azania wamemning'inia na NBC wanamdai kila siku wanataka kupiga mnada nyumba yake anawapooza.
Mkuu kwani mikopo yake haikuwa bima au ilikuwa mikopo ya biashara???
 
Back
Top Bottom