Nyumba ndogo zishindwe kwa jina la yesu!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ndogo zishindwe kwa jina la yesu!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Apr 21, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Watanzania tunaitaji mamlaka sasa kukemea na kuamuru nyumba ndogo zote ama wale waanaotembea na wanaume wa watu ama wake za watu damu ya YESU kristo ikawachome na kuwateteketeza..Roho wa MUNGU akawasambaratishe kabisa na kuelekea kuzimu na kuwaacha nyumba za watu ama ndoa za watu zikiwa na furaaha..tunakemea leo hii mchana huu saa tisa kamili mchana yawezekana wewe ni mmoja wapo unayeteseka na nyumba ndoo najua umejitahidi kuacha umeshindwa kataa kiri moyoni naweza kuacha omba mungu akurehemu ku=wa kutoka nje ya ndoa....pepo wachafu wakuhame in jesus name..kama unaendelea na nyumba ndogo MCHANA WA LEO NATANGAZA FUMANIZI LA AJABU MUNGU WEWE USIE SHINDWA UKAMWAIBISHE MTU HUYU WATU WAKISHUHUDIA ANAVYOIBIA NDOA YAKE KWA JINA LA YESU ..WIKI MOJA ISIZIDI SHUSHA ANGUKO LA FUMANIIZ BWANA NA KAA AMESOMA NA KUKURUDIA WEWE MSAMHE BWANA YESU...NAKUTAKIA FAMILIA NJEMA
  KAMA WAAMINI KUKIRI NAKUTANGAZIA BARAKA ZA FAMILIA IN JESUS NAME
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mi naona washindwe wanaume wanaosaka nyumba ndogo...!
   
 3. N

  Nandoa Member

  #3
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Amina
   
 4. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Na wanawake wanaowakubali wanaume wa watu washindwe n a wakome kabisa.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  Amen pdidy na zishindwe kweli
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Acha heresies. Damu ya Yesu haichomi na kuteketeza, bali inasafisha/takasa na kuokoa. Ni vyema utake watu waokoke kuliko kutaka wateketee. Nia yako ya kuua na ya hao wazinzi malipo yake ni mamoja.

  Wazinzi wote NINAWAOMBEA MUOKOKE NA MWACHE UZINZI DAMU YA YESU IWASAFISHE, NA KUWATOA KATIKA VIFUNGO VYA UZINZI NA UASHERATI. AMINA!
   
 7. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  :amen:
   
 8. Red pepper

  Red pepper Member

  #8
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zishindwe na kulegea
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  tena walegeeeeeeeee maaana wanaweza kushindwa huku wananguvu zao Mungu akaziondoe kabisa NGUVU ZAO kama ni wa kiume akasimamishe ile huduma akuna kupanda wala kuinuka kama ni mwanamke ukakose hamu kabisa ya TENDO LA NDOA NATANGAZA ANGUKO HILI NDANI YA WIKI MOJA LIWE KWAKO ULIEKATAA KUACHA NYUMBA NDOGO NA UKAJE HAPA KUWA USHUHUDA WA YALIOKUTOKEA BAADA YA KUKAIDI.......MOTO WA YESU UZIANGUSHE KABISA JAMANI NASEMA HIVI NIKIMAANISHA MI NIMEONA HUZUNI SANA SANA KUONA WATU WANAKAA KWNYE NYUMBA NZURI KUBWA NA WENGINE GOROFA WAKIBADILISHANA GOROFA KISA HIZI NYUMBA ANDOGO..UNCLE WANGUA ALIKUWA MKURUGENZI WA BANDARI JAMANI WANA GOROFA ZAO 3 YA JUU BABA CHINI MAMA KATI WATOTO,..INASIKITISHA SANA PALE MTOTO WA KIKE ALIPOAMUA KUCHUKUA CHUMBA NA KUISHI NA BABAKE KISA VITUKO VYA MAMAKE JUU YA BABA..SILAUMU WA MAMA NALAUMU NYUMBA NDOGO..WANAISHI FLOOR MOJA NA BABA..HUZUNI TUPU MTOTO WA MIAKA 10 AKIJUA UCHAFU WA NYUMBAN KWA WAZAZI WAKE..WACHILIA HIZI ZA VIKAO VYA SALENDA CLUB TUNAZOENDA AMBAZO KUNA WAKATI INABIDI UENDE NA BIBLIA MUNGU AKUONYESHE NJIA JINSI YA KUWASAIDIA..MNAJUA TWENDE MBLE TURUD NYUMA KUNA WAKATI MWINGINE MUNGU ANARUHUSU JAMBO FULANI KWA AJLI YA UPONYAJI WAKO SO KUNA WAKATI MUNGU ANAJUA AKIKWAMBIA MKEO AFAI AMA MUME AFFAI UTAKATAA ANAKUONYESHA LIVE......SO KUNA ZINGINE SIWAFICHI NIKIENDA SALENDACLUB KIKAONI NATANGAZA RASMI HAKUNA NDOA KAMA MTAWEZA JARIBUNI NA NAWAAKIKISHIA KATK 12 NILIZOTANGAZA AKUNA ILIOSALIA SI KWAMBA WAMESHINDWA NI WAKATI UNAFIKA MUNGU ANAONA VYEMA KUPONYA ROHO YA MTU WAKE.........
  MADAM UNASOMA LEO KWA MACHO YAKO ACHA NDOA ZA WATU NASEMA KIMBIA..KAMA SHDA VUMILIA USIKIMBILIE USHUGA MAMI USHUGA DADY WIKI HII INAKWENDA KUGEUKA POISONDADY/MAMU KAMA UAMINI ENDELEA..UTAKUJA KUWA SHUHUDA
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Very true.
   
 11. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kama kweli umeokoka, Mungu na akubariki.
   
 12. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  P-Didy, hii message yako ni kama inalaani na sio sala!! Damu ya Yesu inaokoa na kusafisha, haiangamizi.
  Nyumba ndogo si ni branch ya nyumba kubwa?? Hii laana ungempelekea huyo aliyetoka kwenye mzizi akaenda kwenye tawi...

  Hapo kwenye Green, seems like huyo muhusika yuko hapa JF


  Something personal here....

  Mi mtazamo wangu tu
   
Loading...