Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
Kama duniani tunapia, kwanini ujenge njiani...!!??
Kula nchi kijana...😶
 
Huwa nina sikitika sana pale ambapo mzazi unajibana kujenga nyumba na makazi bora:

Watoto wakishakuwa wanaanza kutamani mzazi ufe ili waiuze nyumba kirahisi tu:

Hata watoto wakiwa na kazi na kujenga nyumba zao, bado wanaipigia mahesabu nyumba ya wazazi katika mtazamo wa kuiuza mala wazazi watakapo fariki.
Halafu hela wanainyea Bia tu na kuhonga mademu:
 
Kwahiyo ulikuwa unamaana kukosa mahali pa kulala au..!
Kwa nchi kama ya Tanzania unakosaje pahala pa kulala ukiwa timamu kiafya na kiakili ?

Unaweza kujenga nyumba nzuri na usiingie ndani kulala, badala yake ukaishia kulala katika vitanda vya Hospitali:
Pita kwenye miji mikubwa usiku uone Umati wa watu uliokosa pa kulala labda akili yako itafunguka
 
Huwa nina sikitika sana pale ambapo mzazi unajibana kujenga nyumba na makazi bora:

Watoto wakishakuwa wanaanza kutamani mzazi ufe ili waiuze nyumba kirahisi tu:

Hata watoto wakiwa na kazi na kujenga nyumba zao, bado wanaipigia mahesabu nyumba ya wazazi katika mtazamo wa kuiuza mala wazazi watakapo fariki.
Halafu hela wanainyea Bia tu na kuhonga mademu:
Kama watoto ni vilaza sawa
 
Sasa mkuu we unataka ukifa watoto wafanye nini wakati nawao wameshajenga kwao? Au waiache nyumba igeuke gofu?
 
Kujenga nyumba ni ushamba.kula Raha za kutosha maana majumba tutayaacha tu.yaani niache mrembo mkali nihangaike na kujenga?
WAnaosema hv nawajua maisha yao,,,,
Kuna bro mmoja ni mwalimu huwa anapenda kuniambia kula batA chifu acha kuwaza maendeleooo utapata stRess
Ila yeye ana nyumba nzuri na anatembelea ist yake safiiiii
 
Back
Top Bottom