Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.

Nyumba yangu ya kwanza Kujenga 10 years ago, best, dream yangu na mke wangu, baada ya mda anatoka nje ya ndoa, nikasepa nikamwachia, kakimbilia anataka iuzwe, nikasema hapana, kaeni hapo na wanao, Mimi Sina shida!

Kashindwa leta mabwana zake, kaikimbia limekua gofu mda huu, watoto wangu wapo kwa Bibi yao!

Nyumba na ndoa ya Amani ndo kila kitu!
 
Shida ya watu wanalinganisha nyumba na gari,
Unaweza kuwa na gari, huku unaendelea kutafuta hela za kujenga nyumba,
Gari kununua za kawaida hizi toka japan ni 15-25M wakati huo nyumba ili iitwe nyumba ni 45+M hapo weka na kiwanja cha 10M unafika 55M+, mtu hana hio hela kwa mara moja mnataka afanyaje? Wakati anaweza lipa 15M kisha akaanza ujenzi taratibu, pia kingine wengi wananunua second hand cars za 5-12M tu

Vyote vina umuhimu na binadamu unatakiwa uwe navyo vyote
Third hand cars😂 maana second hand ni kwa anayeitoa Japan.
 
Nyumba yangu ya kwanza Kujenga 10 years ago, best, dream yangu na mke wangu, baada ya mda anatoka nje ya ndoa, nikasepa nikamwachia, kakimbilia anataka iuzwe, nikasema hapana, kaeni hapo na wanao, Mimi Sina shida!

Kashindwa leta mabwana zake, kaikimbia limekua gofu mda huu, watoto wangu wapo kwa Bibi yao!

Nyumba na ndoa ya Amani ndo kila kitu!
Nenda kaiuze, jenga nyingine
 
Alafu mnalala wapi
Kwani wenye kumiliki nyumba zao pekee ndio wana pa kulala pazuri ?

Kuna watu wengi tu wameishi maisha yao yote bila kumiliki nyumba zao binafsi na wameishi vizuri tu:

Afya bora na familia yaani mke na watoto ni jambo muhimu sana:
 
Hata usipomiliki nyumba lakini bado utalala kwenye nyumba.

Nyumba ni constant
 
Kwahiyo ulikuwa unamaana kukosa mahali pa kulala au..!
Kwa nchi kama ya Tanzania unakosaje pahala pa kulala ukiwa timamu kiafya na kiakili ?

Unaweza kujenga nyumba nzuri na usiingie ndani kulala, badala yake ukaishia kulala katika vitanda vya Hospitali:
 
Shida ya watu wanalinganisha nyumba na gari,
Unaweza kuwa na gari, huku unaendelea kutafuta hela za kujenga nyumba,
Gari kununua za kawaida hizi toka japan ni 15-25M wakati huo nyumba ili iitwe nyumba ni 45+M hapo weka na kiwanja cha 10M unafika 55M+, mtu hana hio hela kwa mara moja mnataka afanyaje? Wakati anaweza lipa 15M kisha akaanza ujenzi taratibu, pia kingine wengi wananunua second hand cars za 5-12M tu

Vyote vina umuhimu na binadamu unatakiwa uwe navyo vyote
Sahihi chifùu,watu wamezidi ushauriii na sio kila ushauri wa kufuataa
 
Back
Top Bottom