Umemjibu vyemaSasa mkuu we unataka ukifa watoto wafanye nini wakati nawao wameshajenga kwao? Au waiache nyumba igeuke gofu?
🤣🤣Azidishe dua msikitini
Mi nilifikiri analala nje ,kumbe hana nyumba ila analala kwenye nyumba?Elon musk ni bilionea mamba moja lakini hana nyumba inayoeleweka, anajilaza kwenye ofisi na nyumba za kawaida sana 😀 hata wahindi kariakoo wana biashara kibao ila utawakuta wote wanaishi kwenye nyumba za kukodi
Baada ya kuuza nyumba zake 7.Elon musk ni bilionea mamba moja lakini hana nyumba inayoeleweka, anajilaza kwenye ofisi na nyumba za kawaida sana 😀 hata wahindi kariakoo wana biashara kibao ila utawakuta wote wanaishi kwenye nyumba za kukodi
Siku ya pili hii kuna kadada kananiambia hakaoni siku zake ,kananipa presha tu hapaHujasingizia kabisa.
Kama una uhakika mtoto ni wako usijali mkuu mtoto wako ni wako tu.Siku ya pili hii kuna kadada kananiambia hakaoni siku zake ,kananipa presha tu hapa
Ishu sio mtotoo,,,ishu hako kadada ni ka askari kameajiriwa mwaka janaKama una uhakika mtoto ni wako usijali mkuu mtoto wako ni wako tu.
Aise unachezea bahati!Ishu sio mtotoo,,,ishu hako kadada ni ka askari kameajiriwa mwaka jana
Mkataba wake hauruhusuu chifu...Aise unachezea bahati!
Kuzaa na mtu aliyeajiriwa ni fanaka kubwa sana kwa sababu anaweza asikusumbue sana kwa maana anajiweza.
Mkuu hilo ni kosa lake mwenyewe kwanini hakukariri kalenda yake?Mkataba wake hauruhusuu chifu...
Tuishi nao kwa akili hawaaMkuu hilo ni kosa lake mwenyewe kwanini hakukariri kalenda yake?
Kabisa mkuu pia tukatae ndoa mpaka wajirekebishe.Tuishi nao kwa akili hawaa
Mimi kuna msukuma mmoja amenyooka sana naweza nikamuweka ndani mwakaniKabisa mkuu pia tukatae ndoa mpaka wajirekebishe.
Hatuwezi kuwaweka wahuni ndani.
Wasukuma at least wamenyooka kimtindo anaweza kukusikiza kutokana na malezi aliyopewa.Mimi kuna msukuma mmoja amenyooka sana naweza nikamuweka ndani mwakani
nyumba ya tembe ni nyumba ghali sana dunianiShida sio nyumba, shida ni nyumba gani? Hata tembe nayo ni nyumba.
sio hawa wakisasa kaka...wa kienyeji ndio wamenyookaWasukuma at least wamenyooka kimtindo anaweza kukusikiza kutokana na malezi aliyopewa.
We unataka kumweka ndani wa kisasa au wa kienyeji.sio hawa wakisasa kaka...wa kienyeji ndio wamenyooka