Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,253
- 22,169
Zamani uchaguzi ulikuwa tunachagua Jembe au nyumba, wagombea wawili wa chama kimoja,ukipewa uchague nyumba kupitia kwa wakulima vijijini ilikuwa kazi kweli kweli!Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.