Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

Nyumba yangu ya kwanza Kujenga 10 years ago, best, dream yangu na mke wangu, baada ya mda anatoka nje ya ndoa, nikasepa nikamwachia, kakimbilia anataka iuzwe, nikasema hapana, kaeni hapo na wanao, Mimi Sina shida!

Kashindwa leta mabwana zake, kaikimbia limekua gofu mda huu, watoto wangu wapo kwa Bibi yao!

Nyumba na ndoa ya Amani ndo kila kitu!
Where did she go? Where is she now?
 
WAnaosema hv nawajua maisha yao,,,,
Kuna bro mmoja ni mwalimu huwa anapenda kuniambia kula batA chifu acha kuwaza maendeleooo utapata stRess
Ila yeye ana nyumba nzuri na anatembelea ist yake safiiiii
Reverse psychology. Huyo anataka ujifunze kwa ku observe. Akikushauri maendeleo huyo hukawii kumsema "ananitambishia"😂😂😂
 
Huwa nina sikitika sana pale ambapo mzazi unajibana kujenga nyumba na makazi bora:

Watoto wakishakuwa wanaanza kutamani mzazi ufe ili waiuze nyumba kirahisi tu:

Hata watoto wakiwa na kazi na kujenga nyumba zao, bado wanaipigia mahesabu nyumba ya wazazi katika mtazamo wa kuiuza mala wazazi watakapo fariki.
Halafu hela wanainyea Bia tu na kuhonga mademu:
Kama umelea wanao ovyo kihuni lazima wataman ufe wagawane mali zako
Tatizo ni wewe mzaz sio watoto
 
Baada ya kuuza nyumba zake 7.
Pia ni baada ya kuwa billionaire, vipi kama angekuwa na maisha ya kawaida angeuza hizo nyumba?

Hapa mtoa mada ameongelea kuwa na nyumba sio nyumba za ghalama, ile tiny house pale Texas anayoiita la casita inaghalimu $50,000 ni hela ndogo?
Uko sahihi
 
Shida ya watu wanalinganisha nyumba na gari,
Unaweza kuwa na gari, huku unaendelea kutafuta hela za kujenga nyumba,
Gari kununua za kawaida hizi toka japan ni 15-25M wakati huo nyumba ili iitwe nyumba ni 45+M hapo weka na kiwanja cha 10M unafika 55M+, mtu hana hio hela kwa mara moja mnataka afanyaje? Wakati anaweza lipa 15M kisha akaanza ujenzi taratibu, pia kingine wengi wananunua second hand cars za 5-12M tu


Vyote vina umuhimu na binadamu unatakiwa uwe navyo vyote
Hizi ni hesabu za Dar
 
Anza na mke muunganishe nguvu mjenge nyumba nyingi, lakini pia mke ni dawa ya upwiru, fangas sehemu za siri, UTI na ukimwi lakini pia utakula chakula special, mwisho utapata amani na furaha ukimtizama mkeo akiwa ana pita pita na kujipitisha mbele yako.
 
Back
Top Bottom