Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

Shida ya watu wanalinganisha nyumba na gari,
Unaweza kuwa na gari, huku unaendelea kutafuta hela za kujenga nyumba,
Gari kununua za kawaida hizi toka japan ni 15-25M wakati huo nyumba ili iitwe nyumba ni 45+M hapo weka na kiwanja cha 10M unafika 55M+, mtu hana hio hela kwa mara moja mnataka afanyaje? Wakati anaweza lipa 15M kisha akaanza ujenzi taratibu, pia kingine wengi wananunua second hand cars za 5-12M tu

Vyote vina umuhimu na binadamu unatakiwa uwe navyo vyote
Nyumba ni namba moja
 
Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
Nyumba bila biashara au kazi nzuri ni ubatili tu
 
Shida ya watu wanalinganisha nyumba na gari,
Unaweza kuwa na gari, huku unaendelea kutafuta hela za kujenga nyumba,
Gari kununua za kawaida hizi toka japan ni 15-25M wakati huo nyumba ili iitwe nyumba ni 45+M hapo weka na kiwanja cha 10M unafika 55M+, mtu hana hio hela kwa mara moja mnataka afanyaje? Wakati anaweza lipa 15M kisha akaanza ujenzi taratibu, pia kingine wengi wananunua second hand cars za 5-12M tu

Vyote vina umuhimu na binadamu unatakiwa uwe navyo vyote
Mkuu Jenga acha kupanga kwenye nyumba za wanaume wenzio
 
Back
Top Bottom