Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,649
- 5,074
mi nilijua bunge ni chombo kinachojitegemea nimeshangaa sana kuwa kinapangiwa majukumu na serikali.
wewe ni wa bei rahisi ndio maanaPumba+++
Sura yako tu unaonekana mchawiWaambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Hivi wale wabunge ambao walikuwa wakiongea maneno ya hovyo na matusi kiasi cha kushindwa hata kuangalia bunge ukiwa na mtu unayemuheshimu,ndiyo michango ambayo watu mnataka kuiona kutoka kwa wabunge wenu kwa kuoneshwa bunge live? Huu uoneshaji bunge live una faida zake na hasara zake.
Akili za kushikiliwa au mmezaliwa ile sikuku ya wajingaBunge kuonyeshwa au kutokuonyeshwa live, kunawapunguzia nini Wabunge jukumu lao la kuishauri na kuisimamia Serikali?
Wakae ndani humo humo waisimamie Serikali kwa hoja zenye mashiko sio fitina fitina na uchochezi tu, baadhi Wabunge wanataka kugeuza Bunge kama ukumbi wa kufanya siasa ili kujipatia umaarufu mwepesi mwepesi huku wakionekana live.
Sasa tuone kama Bunge lisiporushwa live watatueleza walikwenda Bungeni kuonekana live, au walikwenda kuwasilisha hoja za msingi juu ya matatizo ya wananchi na kuisimamia Serikali kuhakikisha inawajibika?
Unazidi kuwa na akili za kijuha wakati mwingine bora ukajinyamazia ili kuficha ujuha wako!Asiyejuwa maana haambiwi maana.
Unazidi kuwa na akili za kijuha wakati mwingine bora ukajinyamazia ili kuficha ujuha wako!
Au unavizia uwenyekiti wa serekali za mtaa!!?
Unatofauti gani na wale wanao aminishwa mungu baba mwana na ...... Kumbuka ipo siku ya malipo jiweke mbali miongoni mwa watu wanaotetea dhuluma !!!
Sura yako tu unaonekana mchawi
Tatizo hili jambo hujadiliwa kwa mitazamo ya CCM na upinzani,tukubaliane tu kwamba kuna ubaya na uzuri wake wa kuonesha bunge live.kwahiyo hoja ni ipi sasa?mnaruka ruka kutafuta sababu hata hamueleweki
Kwanini unafikiri wanaogopa?kwani uoneshaji live bunge kwa miaka yote hiyo ulikuwa unawaathiri nini hadi sasa uhisi wanaogopa?Mimi binafsi sijaamini kama serikali na bunge wanaaweza kufanya upuuzi wa namna hii. Hii ni kitu gani? Wanaogopa nini?
There you are!! Always slippery and unobjectiveWaambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Ile clip ya Wenje kwenye Bunge la Serikali iliyopita kuhusu Mkurugenzi Wilson kabwe nadhani utakuwa umeiona leo.Kwa hayo machache tu inatosha wewe kukubali upinzani ni very strong.
Sasa kufungiwa kuona bunge time za kazi ndiyo umedhulumiwa?
Badala ya kushukuru umesaidiwa uende ukafanye kazi za kukuingizia kipato wewe unalialia.