Kwetu Masoko
Senior Member
- Mar 16, 2016
- 122
- 32
Bungeni, hawatoki watahakikisha wanabanana mpaka ukamilisho wa dahariWaambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Bungeni, hawatoki watahakikisha wanabanana mpaka ukamilisho wa dahariWaambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Hiyo saa mbili usiku ni nani alikudanganya? Au unaota?
Bunge lenyewe limetangaza kuna feeder yao itarusha matangazo yote na channel yoyote ya tv wanaweza wakachukua hapo na kurusha wapendavyo, si kujazana kila channel na mitambo yao bungeni.
Mambo yanaendeshwa kisasa zaidi.
Tumieni vichwa vyenu japo kufikiri kiduchu siyo kuviwacha mizigo juu ya mabega.
wewe bibi mbona ni mjinga kiasi hicho,tunasema nini na wewe unaongea nin?Tatizo hizo feeder za bunge zinakatisha matangazo ikifika kipindi cha wabunge kuwasilisha michango yao.Saiv maswali na majibu mpaka saa 7 live,ila tukirudi saa 10 ndio wanakata,woga wa nini/
nasemaga siku zote namshukuru mungu kwa kutonipa akili kama zako za kipunguani!Waambieni wabunge wenu wasusie bunge.
Naona sasa watabeba hadi shukawabunge wa ccm wamepewa tiketi ya kulala,sasa watakoroma kabisa
Kuna umuhimu wa bunge kuonekana live kwa upande mwingine sioni umuhimu sababu kipimo cha mbunge sio kujenga hoja au kuonekana byngeni. Kipimo sahihi cha mbunge ji nini anafanya katika jimbo lake. Lowasa, mwandosya na wengine wengi wamefanya makubwa majimboni mwao na wakaonekana bora sio kisa et walikua wakichangia sana bungeni au kuonekana mara kwa Mara.mnyika alikua msemaji mzuri sana bungeni lkn jimboni kwake hamna kitu. Wananchi tunataka maendeleo majimboni kwetu sio porojo za kwenye tv.
Na hii itasaidia hii nchi kila mbunge kupiga kazi jimboni kwake coz ndo itakua sehem ya yeye pekee kuonekana tofauti na mwanzo mbunge akionekana bungeni tu kashamaliza kazi hata kurudi jimboni kujua nini kinaendelea hataki.anajua tu umaarufu wa bungeni utambeba.nadhani sasa tutawaona wabunge wetu majimboni maana bila hivo imekula kwake.
Hujaelewa.soma upyaokay,basi kusiwe na mijadala bungeni,mambo yawe kimya kimya.Yakishapangwa na serikali pamoja na kamati za bunge ndio iwe basi.Wabunge wakatekeleze kimya kimya.Si ndicho unajaribu kusema?
we hujasusia kuchamba mbunye yakoWaambieni wabunge wenu wasusie bunge.
wewe ndio hujaelewa.Point yangu ni kuwa kuna watu wenye influence moja kwa moja kwa serikali,kama mawaziri ambao pia ni wabunge.Hawa ni rahisi kuweka vipaumbele kwenye maeneo walikotoka,hawahitaji kupiga kelele bungeni kusikilizwa na serikali.Kuna mbunge aliwahi kuelezea hali mbaya jimboni kwake ikambidi waziri afunge safari kwenda huko kuangalia na ikabidi bajeti itengwe kutokana na udharura kwa eneo lile.Serikali itajuaje changamoto ulizonazo jimboni kwako kama wewe ni bubu?Ukiwaiga hao akina lowassa kuwa wako kimya ila majimboni kwao safi utapasuka msamba,wana namna ya kutatua changamoto zao bila hata ya kuisubiri serikali.Hujaelewa.soma upya
wewe bibuHiyo saa mbili usiku ni nani alikudanganya? Au unaota?
Bunge lenyewe limetangaza kuna feeder yao itarusha matangazo yote na channel yoyote ya tv wanaweza wakachukua hapo na kurusha wapendavyo, si kujazana kila channel na mitambo yao bungeni.
Mambo yanaendeshwa kisasa zaidi.
Tumieni vichwa vyenu japo kufikiri kiduchu siyo kuviwacha mizigo juu ya mabega.
je kuonyesha kunawapunguzia nini Wabunge uwezo wao wa kujenga hoja na kuisimamia Serikali?Kuonyeshwa au kutokuonyeshwa live kunawapunguzia nini Wabunge uwezo wao wa kujenga hoja na kuisimamia Serikali.
Na ndiyo maana tunajadiliana hapa,na nimetaja hasara moja ya wabunge kufanya mambo ya ajabu na kutukana bungeni,hali hii inakosesha bunge heshima. Hili ungezeko la watu kutizama bunge si kwa sababu zinazotolewa humu ila ukweli ni hivyo vituko na fujo zinazotokea bungeni.um
umefanya tathmini ukajua hasara ni zipi na faida ni zipi?
sawa namngoja AMBROSE PETER LIJUALIKALI akirud tufanye yetu maana kama wana kilombero wangepitisha takataka ya kijani ingekua harufu kali ya ushuzWewe wacha porojo, mngoje mbunge wako jimboni akushughulikie.
Na ndiyo maana tunajadiliana hapa,na nimetaja hasara moja ya wabunge kufanya mambo ya ajabu na kutukana bungeni,hali hii inakosesha bunge heshima. Hili ungezeko la watu kutizama bunge si kwa sababu zinazotolewa humu ila ukweli ni hivyo vituko na fujo zinazotokea bungeni.
Mada iko kwenye kuonekana live. Kwani hizo hoja haziwez kutoka had wawe live? Wapiganie haki zetu na wawe wanarudi kutupa mrejesho majimboni kwetu sio kila siku tuwe tunawaona kwenye tv. Tunataka maendeleo sio nani kasema nini bungeni.wewe ndio hujaelewa.Point yangu ni kuwa kuna watu wenye influence moja kwa moja kwa serikali,kama mawaziri ambao pia ni wabunge.Hawa ni rahisi kuweka vipaumbele kwenye maeneo walikotoka,hawahitaji kupiga kelele bungeni kusikilizwa na serikali.Kuna mbunge aliwahi kuelezea hali mbaya jimboni kwake ikambidi waziri afunge safari kwenda huko kuangalia na ikabidi bajeti itengwe kutokana na udharura kwa eneo lile.Serikali itajuaje changamoto ulizonazo jimboni kwako kama wewe ni bubu?Ukiwaiga hao akina lowassa kuwa wako kimya ila majimboni kwao safi utapasuka msamba,wana namna ya kutatua changamoto zao bila hata ya kuisubiri serikali.
cc: FaizaFoxyDalili ya mvua ni mawingu. ila kujua kuwa mvua itanyesha haikupi uwezo wa kuzuia mafuriko na upepo unaopelekea maafa makubwa.
Ninachotaka kusema ni kuwa, kitendo cha mgombea wa cheo kumtwanga na gogo mgombea mwenzake tena hadharani na kuzimia shida yake apate hicho cheo haikuwa dalili njema. Maajabu yaliendlea pale mtu huyo huyo alipozawadiwa cheo kikubwa kabisa cha kushika urais wa mhimili mmojawapo kati ya mitatu!
Kwa maana hiyo mlioelewa kuwa kitendo cha kumjeruhi mgombea mwenzake haikuwa dalili ya heri kwa taifa ni wazi tutegemee maafa kama hayo hayo kwa taifa pia alilopewa kuliongoza. Ambao hawakuelewa wakati ule na sasa waanze kuelewa unless umma wa Tanzania usimame pamoja na kusema 'NOOOOO' kama wao wanavyosema 'ndiyoooo'.
Ukieangalia anayofanya JPM ni wazi taifa limeangamia na anajaribu kulizindua na tukiendelea kuruhusu akili ndogo itawale akili kubwa tutaangamia kibisa ....yaani 'totally distruction'.