Nyota ya Michael Jackson imezimika haraka sana baada ya kifo chake tofauti na 2pac, Bob Marley

Zipo nyingi! Sema unahitaji kutuliza akili! 2pac alikuwa ni miongoni mwa watu wenye akili kali sana! Ndiyo maana nyimbo zake zilitumika kufundishia mpaka Vyuo vikuu!

Si kila aimbaye ni mwanaharakati! Nadhani inategemeana na anachoimba! Wazungu wengi hawakumpenda! Aliwakemea
Aliwakemea wapi? Tupac alikuwa chini ya Deathrow, Deathrow ilikuwa na distribution deal na Interscope. Nani anamiliki Interscope? Wazungu.
 
Mleta mada acha kuchukulia mazingira yako ya Temeke halafu uka conclude Dunia nzima. Nani anmkumbuka Tupac na Marley zaidi ya wavuta Bangi wenzao?
Ha ha haaaa.....we jamaaa ni fara sana.

Eti Nani anamkumbuka TUPAC zaidi ya wavuta bangi wenzio.


Usifananishe TUPAC na MARLEY na Umama wako
 
Ushawishi kwenye jamii kingine walikua wanaongelea mambo reality kabisa ambayo yanatokea kwenye jamii kila siku tofauti na MJ
Nyimbo Nyingi za MJ pia zinaongelea reality Earth, you are not alone, they don't care about us, black and white etc na MJ ni Global superstar wakati 2Pac na ni relevant kwa community za watu weusi.

I doubt China au Afghanistan huko watu wengi kama wanamjua 2pac ila MJ anajulikana kote.
 
Wakuu nyimbo za Michael Jackson mnazijua au mnaongea tu? Nendeni mkasikilize, They don't care about us.
Earth Moja ya nyimbo kali kushinda zote za MJ, mtu anaefikiri Nyimbo za MJ ni za kuburudisha 100% hajasikiliza hata nusu ya huyu jamaa.

 
Earth Moja ya nyimbo kali kushinda zote za MJ, mtu anaefikiri Nyimbo za MJ ni za kuburudisha 100% hajasikiliza hata nusu ya huyu jamaa.



Kaka wabongo wengi wanafikiria mawazo ya vijiweni ndio facts. We fikiria wanakwambia eti Michael Jackson isn't relavant anymore. Wakati New Zealand, Australia, Russia, Middle East, Western Europe na huko kwao Marekani usiseme. Watoto wake tu wanapata giggy kwenye movies kwasababu baba yao ni Michael. Hawa watu wengine tuachane nao tu
 
Style za kucheza kila siku zinatungwa mpya ila mashahiri dhatit yanaishi milele
 
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.

Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.

Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo vyao mkapa leo bado nyota zao zinang’aa?
Na mangweaaa
 
katika ukuaji wangu nmekuwa nikisikia nyimbo za tupac na kuziona picha zake nikajua yupo hai, nmekuja kusikiliza history kumbe kavutaa kitambooo sanaa
 
'Keep ya head up/Changes/don't cry etc.
Kama unaita hizo nyimbo ni za harakati basi hujui maana ya harakati. Kuna mamia ya nyimbo zenye meseji kama hizo nyimbo, walioimba wote ni wanaharakati? Mnachanganya inspiration na activism.
 
Kama unaita hizo nyimbo ni za harakati basi hujui maana ya harakati. Kuna mamia ya nyimbo zenye meseji kama hizo nyimbo, walioimba wote ni wanaharakati? Mnachanganya inspiration na activism.
Haya mwanaharakati (ujuaye harakati). Msalimie mwanaharakati mwenzako Michael Jackson.
 
Kwa mtazamo wa kizungu MJ anaonekana yuko juu, lakini kwa mtazamo wa kiafrika 2pac na Bob ni zaidi ya MJ.
 
Back
Top Bottom