Steven Randall "Randy" Jackson (born October 29, 1961) is an American singer-songwriter, musician, and dancer. Randy is best known as a former member of his family band the Jacksons. Randy is the youngest Jackson brother and the second-youngest Jackson sibling before his sister Janet Jackson. He is the eighth child in the Jackson family.
Wadau mwenye ngoma za Michael Jackson kama ifuatavyo anisaidie.
Smooth criminal
They don't care about us
When I come of age
Stranger in Moscow
Blood on the dance floor
N.k.
Nitashukuru sana .🤝
Wakuu leo ni jumapili,
Nimepumzika zangu, nikawa nacheki video za zamani za wasanii wa mbele.
Ghafla ikaja video ya Liberian Girl ya Michael Jackson.
Ni video flani hivi haichoshi kuitazama namna ilivyopangiliwa matukio yake.
Ni video ambayo leo imenikumbusha kitu ambacho sikuwahi...
Mwezi Agosti mwaka 1985, mfalme wa Pop, Michael Jackson, alicheza karata ya kibiashara iliyowashtua na kuwakasirisha mabosi wote wa makampuni makubwa ya muziki duniani.
Alinunua hati miliki za nyimbo zote za bendi maarufu zaidi duniani, The Beatles (pamoja na nyimbo za Elvis Presley na maelfu...
Actress Skai Jackson amesema kuwa watu wengi nchini Kenya hawajui vizuri wanavyoonekana because mirrors are not common in some communities. Akizungumza kwenye mahojiano yaliyosambazwa mtandaoni, alieleza kuwa upatikanaji wa vioo unaweza kuwa changamoto katika baadhi ya maeneo, jambo ambalo...
Diwani wa kata ya Igumbilo Manispaa ya Iringa Jackson Chatanda ametoa msaada wa sahani 300 kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ulonge, hatua iliyolenga kutatua changamoto kubwa ya ulaji iliyokuwa ikiikabili shule hiyo kwa muda mrefu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka shuleni hapo, wanafunzi wengi...
Rev. Jesse Jackson, gwiji wa harakati za haki za kiraia nchini Marekani na mgombea wa zamani wa urais, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 84, familia yake imethibitisha.
Jackson alikuwa mshirika wa karibu wa Dkt. Martin Luther King Jr. na mwanzilishi wa Rainbow PUSH Coalition.
Alijulikana...
The Chief of Defense Forces, Gen. Muhoozi Kainerugaba, and Senior Presidential Advisor for Special Operations, has appointed Brigadier General Jackson Pande Kajuba as the new commander of the UPDF Armoured Division in Masaka.
He replaces Major General Deus Sande, who passed away after...
Ni ngumu sana hapa Dar es salaam kumjua mwanake wa mtu.Kibaya zaidi hao wanawake wenu tukiwasimamisha na kuwatongoza wanasema hawajaolewa na wala hawana watoto,Sasa kosa langu hapo mimi ni lipi?
Mwanamke ambaye anajua kabisa ameolewa na ana watoto na mume nyumbani kwake lakini mwisho wa siku...
Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
afrika
afrika mashariki
akutana
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
bunge
jackson
kamati
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
marekani
mashariki
mazungumzo
mbunge
mjumbe
ndogo
nje
thabit kombo
ushirikiano
ushirikiano wa afrika mashariki
wawakilishi
waziri
waziri kombo
Akishiriki Ibada ya mazishi ya aliyekuwa katibu wa #CHADEMA wilaya ya Arumeru, Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amesema Tanzania tunahitaji kuona siasa za vyama vingi practically, watu wawe na nguvu za kusikiliza hoja za kisiasa za pande zote kwa...
Mbunge wa Jimbo la Kalenga Mhe Jackson Kiswaga amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea kwa awamu nyingine ubunge katika jimbo hilo.
Mhe Kiswaga amechukua fomu hii leo June 28, 2025 siku moja baada ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kulihutubia bunge na kutangaza kulivunja rasmi Agosti 3...
Hii ni moja ya picha (MJ look-alike) inayo trend sana hivi sasa mitandaon, inasemekana jamaa ni mtu kutokea Mexico, amefanana kinoma noma na The late Michael Jackson.
Watu wanadai hakuna video Clip yoyote kuhusiana na huyu jamaa na kwa umri wake na ukubwa wa teknolojia, basi tungefahamu muda...
Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani.
Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson
Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
BABA MTAKATIFU FRANSISKO AMEMTEUA PADRE JOSAPHAT JACKSON BUDUDU KUWA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO KUU KATOLIKI TABORA
Hongera sana wanajimbo Kuu Katoliki Tabora, Hongera Taifa la Tanzania kwa zawadi nzuri ya kiongozi katika Kanisa.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
.
Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza nakala milioni kumi, alihisi kuwa haikuwa hivyo kwa kuzingatia ukweli kwamba haikushinda Albamu Bora ya...
Hayati Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa ni mwingi wa vituko huko Hollywood.
Ukitazama Video ya Kibao cha Liberian Girl ya kwake hayati Michael Jackson utamuona sokwe Bubbles miongoni mwa mastaa wa miaka ya 1980 waliohudhuria video hiyo.
Sokwe huyo wa kiume anajulikana kama Bubbles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.