Nyoka Mkubwa avuka barabara

Nyoka Mkubwa avuka barabara

Hatari. Wapi hapo?
1908329_1451779255071251_6883261385203123323_n.jpg
 
Koboko huyo!!!! Tunao wengi sana huku kwetu Katavi. Bora ukutane na simba Ila si huyo jamaa.

Yes hiii picha ilipigwa na Wana Chadema huko Sumbawanga na nilitumiwa kwa WhatsApp. Hilo dude si mchezo. Jamaa wanasema walipaki gari kwanza wakamsubiri avuke ndio wakaendelea na safari
 
Yes hiii picha ilipigwa na Wana Chadema huko Sumbawanga na nilitumiwa kwa WhatsApp. Hilo dude si mchezo. Jamaa wanasema walipaki gari kwanza wakamsubiri avuke ndio wakaendelea na safari
Hatari sana, kumbe imetokea kweli huku kwetu........ Patrickn umeipata hii??
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe unaendesha pikipiki na unakutana na huyu nyoka ghafla, unafanya nini!
 
ingetokea gari imkanyage
We mrembo, sikujua kuwa wewe ni katiri kiasi hiki; kwani amekukosea nini? hujui kuwa hapo alipo ni makazi yake sahihi? Unajua kharifa " Abu Bakr al Bagdad angeona huo mpasuko kwenye nywele zako angekuhukumu kuuawa kwa kupigwa mawe kama siyo kukatwa shingo kwa jambia kali!!!!!!????, wewe huna trofauti naye.
 
Kaka rasta ziko aina nyingi na ukubwa tofauti sana, zipo rough road na kwenye lami pia!!!!
Zipi unaongelea???!!
Rasta ni non reactive, huyo nyoka kwa ukubwa huo tahadhari lazima iwepo sio "given" outcome hapo!!!

Mi naongeza mafuta tu hapo
 
Tulishawahi kumkanyaga nyoka wa namna hii kwa gari, nakumbuka uncle ndo alikuwa anendesha tulimpitia tukiwa kama kwenye spidi 80 hivi, gari liliyumba kidogo wakati tunamkanyaga ila tulipogeuka nyuma hatukumuona kumbe alikuwa amenasia chini ya gari GHAFLA kwa spidi ya ajabu ambayo sijawahi kuiona alikigonga kioo cha gari cha dirishani nilipokuwa nimekaa mimi, kioo kilipasuka na yeye kichwa chake kilipasuka palepale...Nashukuru tulikuwa tumefunga vioo maana kama vingekuwa wazi nadhani angenikata kichwa changu kwa ile spidi...usithubutu kumkanyaga na gari umkutapo nyoka wa namna hii.
 
Back
Top Bottom