Nyoka Mkubwa avuka barabara

Nyoka Mkubwa avuka barabara

Koboko huyo!!!! Tunao wengi sana huku kwetu Katavi. Bora ukutane na simba Ila si huyo jamaa.

Hapana huyo ni HANENEPI (Anaconda)...........

maxresdefault.jpg
 
Mkuu huyo nyoka ni jamii ya chatu au koboko?

koboko hawezi kufikia ukubwa huo,koboko ni mdogo kikomo chake ni kama unene wa mkono ila anasumu kali,akikugonga unakufa ndani ya dak 5,uwa anapenda kuhang juu ya mti anayepita chini ugongwa,kama ni ng'ombe 20 lazima awepe dozi,kumuua huyu nyoka huwa tunachemsha pumba kwenye chungu kikubwa iwe ya moto sana,kisha tunajitwik kichwani tunapita eneo alipo akiona kile chungu anagonga.akigonga anakutana na mchemsho huo na kifo hapo hapo,ni nyoka hatari uwa anagonga chochote hasa anapenda kugonga kichwani.SO HUYO SIO KOBOKO NI CHATU ANAYEMEZA.
 
Back
Top Bottom