Nyoka Mkubwa avuka barabara

Nyoka Mkubwa avuka barabara

Mende mduchu simuogopi, Yule mwenye sharubu2 simgusi, panya mduchu simuogopi namuogopa Yule panya buku.. Nyoka ndio awe mduchu awe mkubwa namuogopa ...
Haaaha ha ha ha...kumbe janja ya bureee !! viduchu tu ndo waviweza....!! Kaza roho na kukamae kuvifagilia hukoo ..Yaani chumbani ukiwa alone na hammadi ! vikatokea siutafazaaika moyo wakowee !! Pole ukhti.
 
Ni viongo haijatokea Rukwa mbona hii picha nilishawahi kuipost siku za nyuma hapa jamvini na niliitoa kwenye mitandao flani ya nje
Kumbe ni stori za uongo eti imetokea Rukwa.....!!!
 
Koboko huyo!!!! Tunao wengi sana huku kwetu Katavi. Bora ukutane na simba Ila si huyo jamaa.
Hawezi kuwa koboko amabaye ni slender na swift.
huyo ni chatu na inaelekea amekwisha uwawa kwa vile angekuwa anatembea , basi ingalau kungekuwa na movement curves zinzoonyesha movement.

huyo nyoka kauwawa na wanakijiji na kunyooshwa barabarani.
 
akaah bwana weye unaweza kumuua mtu ivoo, wallah namuogopa mwili wote unanisisimkaa , umetumwaa eeh? Khoory ni family name ya nchi za Arabuni...
Ukimtaja nyoka tu, Huyoo chini yako!! hebu chungulia mvunguni ! Kwani Lebanon si Arabuni? Khoor ni Mwamba wa bahari..!so wewe ni MWAMBA (vipi Mwamba aogope ukindo)?
 
Hivyo sitishiki, namanishaa Khoory yangu mie ni wale Khoory wa U.A.E .. Sio wa Lebanon ....
Meshalla, Sasa hutishiki Lakini lijinyoka limekutia khofu !!
Huko L khaleej ndiyo kwenye bahari zenye khoor (miamba) nyingi, hivo sijakosea ! ahL 3ajman,Fujeirah,Um-lquin,RasLkhayma, au Budhabi? usijekuwa damu yetu moja.!
 
Meshalla, Sasa hutishiki Lakini lijinyoka limekutia khofu !!
Huko L khaleej ndiyo kwenye bahari zenye khoor (miamba) nyingi, hivo sijakosea ! ahL 3ajman,Fujeirah,Um-lquin,RasLkhayma, au Budhabi? usijekuwa damu yetu moja.!

Al Ain....
 
Back
Top Bottom