Jkt ilikuwa poa sana, siku moja afande wetu katwambia twende Vibwende kupata machozi ya simba,halafu afande akazimika huko huko kwa babu ilikuwa kazi kumpepea. Pamoja na mapungufu yake,JKT ilikuwa safi. Shilingi ina pande mbili.
Naukumbuka wimbo wa; nampendapenda nani,yule pale. Basi wewe unakaa na yy anaimbisha disco mpaka saa 4.
Naukumbuka wimbo wa; nampendapenda nani,yule pale. Basi wewe unakaa na yy anaimbisha disco mpaka saa 4.