Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Kati ya Wanafuzi wa MAZENGO sec sasa St.John University walioingia Form One(MwakaMmoja) na ALBERT,Alikuwa Mmoja ya Wanafunzi BRAVE na wenye marks nyingi sana katika ufaulu wa kuingia kidato cha kwanza. He was Genius..Though alikuja kuangukia katika Muziki..bt too was Genius katika Uso wangu.

a.k.a MIMI was HIT Ntayoikumbuka sana Coz tulikuwa tunagombana sana na Bro wangu..Kuhusu Sauti ya Music!!Na week hii Nilikuwa naisikiliza sana..Nakuanza Ku'reminisce zile fights zangu na Bro huku NIkicheka. Sikujua kwamba The Guy was.......Rip Albert.

The guy was so good in badketball kama unakumbuka zile bonanza za sprite pale bweni la muungano!!

Anyway ya Mungu mengi
 
hii ni nyingine tena,ni bongo records tena, pfunk ngoja tuanze na la east zuu, ukilicheki kwa nje lipo simple tuu,ila ndani kuna vitu flani ambavyo mi mwenyewe sometimes nazitamani.
 
Kama ni dem sikiliza. Huwa inanikumbusha mwaka 2004 nikiwa chuo. Wazuri hawadumu
 
mkuu iyo ngoma mpaka sasa ninayo katika simu yangu nikiisikiliza mzuka unapanda e bwana ngwea ametoa song nyingi na zitaendelea ku hit r.i.p ngwea

kaka fanya kile unacho weza uiweke hapa jamii forum kwa ku i attach io ngoma ni idownload naipenda kinoma nimeitafta sana.
 
Sidhani kama wengi wanaijua,nyimbo inaitwa Clubin rmx ya Marquiz Houston,Ngwair aliifanya kwa kiswahili ilikuwa poa sana.

Pia album nzima ya aka mimi kwangu bado ni the best album in bongo fleva.
 
Last edited by a moderator:
Msela shule sikusoma Sikuwa na Hela Sio akili.. Nipeni Dili Masela. Kwa mtazamo wangu hata yy mwnyewe hii nyimbo ndo namba one. Mchizi alienda SA kusaka mahela sema ndo vile akarudi mwili.
 
Bila mapene juwa mengi utamiss, achia mbali lazima wajinga watadis, mi mwenyewe mtu fulani wa machicks, vipi nitaopoa miss bila ya kuwa na mahela, sio vicent kama fifty fifty, kutembea mfukoni mchizi sina hata jiti. so nyie mnasemaje masela tusake dili tutadaka mahela. aisee........r.i.p ngwea
 
Maskini Wenzangu- Hii ngoma ni miongoni ya track yake ya mwisho kutoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom