Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

"usione tumepinda migongo ukadhani tunavibiongo kumbe ni ufupi tu wa mlango hey dark master nitembezee chata nipe kipaza nihubiri kama pastor au nelly wa xplastaz"

Msela-TMK wanaume FT NGWEA
Asante mdau uliyeweka hii one of my favourite verse kutoka kwa NGWEA.
rip ngwea
 
Tanzania kuna talent NGWEA was the best!
Huyu jamaa free style alikuwa mtu mwingine uliza binadamu yeyote ambaye anamfahamu!
 
kwa nyimbo zote mlozipenda zinadhiirisha kuwa Ngwea alikuwa mkali. Na ukweli utabakia pale pale mshikaji alikuwa mkali.
 
she got a gwan
Hiyo n bonge la song hakuna
RIP cowboy
 
Sidhani kama wengi wanaijua,nyimbo inaitwa Clubin rmx ya Marquiz Houston,Ngwair aliifanya kwa kiswahili ilikuwa poa sana.

Pia album nzima ya aka mimi kwangu bado ni the best album in bongo fleva.
mkuu iyo ngoma mpaka sasa ninayo katika simu yangu nikiisikiliza mzuka unapanda e bwana ngwea ametoa song nyingi na zitaendelea ku hit r.i.p ngwea
 
na katika song amabalo nikilisikiliza ni lile alilofanya na daz baba ilio kwenda kwa jina la wife
ngwea alianza kwa kusema
ishakua soo mtaani kashfa kibao
ngwea nishamua sasa milupo noo
yahitaji hani mwandani
aendane nami kuanzia tabia hata vitu flani
yani ikiwezekana apandishe hata majani
ila asiwe anaboreka anapokua nami e bwanaaa eeee
 
Jay Mo na Ngwea kimya kimya ilikuwa noma hata ccn sio mchezo
 
"Madem ninyhi nisikilizeni kwa makini,hivi ni kwanini mnakuwa hamjamini?mnajuwa nyie ni mna nguvu zaidi ya sisi,mwanamme kwa dem ni kama mfupa kwa fisi.Sina nia ya kubadili maaadili siyoo,nachopinga nyie kushikwa maskio,sema tu hamjui umuhimu wenu,ila leo ntawaambia,ilimradi iwe siri yenu"

Note:sikiliza na she got a gwan is ma favorites..

mimi naipenda sana ile "km ni demu sikiliza" na gheto langu
 
Tanzania kuna talent NGWEA was the best!
Huyu jamaa free style alikuwa mtu mwingine uliza binadamu yeyote ambaye anamfahamu!

Ebwana umenikumbusha battle ya freestyle pale Diamond Jubilee Alichofanya Ngwair kila mtu alidhani uchawi...huyu jamaa alikuwa na kichwa cha kipekee asee
RIP mfalme wa mitindo huru
 
Well, me co mpenzi wa hii miziki ya vijana wa sasa but niliwahi kuusikiliza muziki wake wa SHE GOTTA A GWAN (sina hakika na spelling au title yake) ni kama niliupenda!
 
Kama wikend ndo tayari ishafika,
watu viwanjani wanamiminika,
tufurahi kwa pamoja usiku huu, na kwa furaha turushe mikono juu
 
Speed 120-Ngwair ft Chiddy Benzi. Anasema Hata nikifa Leo Pengo langu halina Spea Coz mi ndio Mi hatuwezi kuwa Pea.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Zote aloimba ama kushirikishwa. The guy was something else! RIP Ngwea. I feel sorry for JMo! JMo kakosa true competitor! Much salute to JMo, endelea pale Ngwea alipokomea bro

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Bingwa wa Freestyle Bongo sijaona bado..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom