Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

"Vipi DJ matumbo haupigi hewani na unasikiliza Ghetto Demu wako hizi vocal anapigia nyeto,Q ebu kata hiyo instrumental maana machizi watakuwa ma mental"-- #Kila-siku-tupo juu.
 
Last edited by a moderator:
mie nitamkumbuka kwa ngoma yake ya 'Ghetto Langu',,,hii ngoma Ngwea kabla ajaipeleka radio enzi izo nilikuwa mmoja kati ya watu wa kwanza kabisa kuiskiliza sikuamini kama ingekuwa kubwa kama ilivyokuja kumtoa mazima..

na ile remix ya Clubbin aliyofanya kwa D-money inanikumbusha demu wangu wa udogoni haswa pale anapochana verse ya Joe Burden....RIP NGWEA hadi machozi yananitoka kama naiskia ile sauti yako unamaliza track unasema 'e bwana eeh niko around mazee'

kumbe ulikua mtoto 2005
 
Daah udhaifu wa kikwete ndio hivyo tena umesababisha kifo cha Ngwea aisee,kuna traki ali muimbia jk 2005 'mtoto wa jakaya' but huyu mzee hata hakujali umuhimu wa ngwea ndio kwanza mwanae riz akaishia kumfanya punda....ina uma sana unajua.
 
Kama weekend ndo tayari ishafika..
Watu viwanjani wanamiminika..
Na kwa furaha pamoja wakati huu..
Basi kwa pamoja turushe mikono juu..

"Weekend " inanikosha hadi keshokutwa keshokutwa!
 
Mimi ile verse yake katika wimbo wA daz baba(wife) huwa najiskia poa sana na kumkumbuka.
" ishakua soo, mtaani kashfa kibao, Ngwea nishaamua sa milupo no
Nahitaji honey mwandani aendane nami.
Tukianzia tabia mpaka vitu flani.
Yaani ikiezekana apandishe hata majani,
Na asiwe anaboreka anapokuwa nami,
Awe(mwenye lipsi paaana) ndo maana moja ya vitu vinavyonichanganya
Na(akicheka ana mwaaanya) sintokuwa na la kusema zaidi ya kumpenda sana.
 
Speed 120 ni shidaaaaa, nipeni deal, dk 1..........
 
Remix clubin ninayo hapa anaeitaka ani pm nimrushie goma hili alilicopy kutoka majuu ila alilipaste bomba yaani
 
mie nitamkumbuka kwa ngoma yake ya 'Ghetto Langu',,,hii ngoma Ngwea kabla ajaipeleka radio enzi izo nilikuwa mmoja kati ya watu wa kwanza kabisa kuiskiliza sikuamini kama ingekuwa kubwa kama ilivyokuja kumtoa mazima..

na ile remix ya Clubbin aliyofanya kwa D-money inanikumbusha demu wangu wa udogoni haswa pale anapochana verse ya Joe Burden....RIP NGWEA hadi machozi yananitoka kama naiskia ile sauti yako unamaliza track unasema 'e bwana eeh niko around mazee'

Track ya Weekend ilikuwa imesimama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom