Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Msela shule sikusoma Sikuwa na Hela Sio akili.. Nipeni Dili Masela. Kwa mtazamo wangu hata yy mwnyewe hii nyimbo ndo namba one. Mchizi alienda SA kusaka mahela sema ndo vile akarudi mwili.
Mangudu Digi...
Dark Master
Ngwair!
Cowboys in the House!
Maseeeela, {Maheeela}
Cowboys in the House!
Maseeeela, {Maheeela}
C'mon, Cowboys in the...
Maseeela!
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni dili masela, Maheeela
Nikamate Mahela, Maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela
Yo!
Mtoto wa kiume najituma na nguvu tena jasiri hata shule skusoma skuwa na hela skuwa na akili so...
Nipe dili mbili kila alfajiri then. then usinipe zaidi ya wiki mbili
Usiponiona ujue nishatambaa nishasafiri yaaani... niko mbele mi nasaka mahela
Nipeni, nipeni dili masela, Nipeni dili mi nikamate mahela.maheela
Nicheke, Hata bar zetu ni za vichochoroni, usishangae tukishindia komoni
Tunapenda sana ma wine ma champagne, lakini ndo vile tena hatuna mahela!
Tunatamani mamisosi ya kumwaga, ni ma'Pizza ma'Burgers na Mazagamazaga, {Zaga!}
Ila ndo vile tena hatuna mahela, leo wenyewe ma'cowboy wameshindia Mapera
Tumekondeana kama miili ya Misumari, si unajua kuwa mwili huwa haujengwi kwa tofali
Bali kwa ugali wa maharage au Pizza pepperoni, au kitu cha Beef then mixer Macaroni
Inapendeza ni mambo tu ya fedha, full diet ni muhimu ipatikane kwa meza {mh!}
So, nyie mnasemaje masela, tusake dili tukamate mahela, riight
Maseeela!
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni dili masela, Maheeela
Nikamate Mahela, Maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela
Yo
Sjui hata nifanye dili ipi, naona kama vile zote hazilipi yaani...
Nishaamua mi kufanya muziki, kuja 41 nae eti anataka mahela
Nimeshachoka haya maisha ya mtaani, ofisi maskani, breakfast mjani {of course yes}
Wakati kichwa kinawaza mamilion, vipi nita'ride na marque stallion {check bling bling}
So kila kona ya mtaa kujimix, figure dili one two, one two the five six
Ikiwezekana unapiga hata fix, so acha uoga wa kulala sjui kituo cha polisi
Bila mapene jua mengi utamiss, achia mbali lazima wajinga wata diss
Mi mwenyewe mtu fulani wa ma'chicks, vipi nitaopoa miss bila ya kuwa na mahela?
Sio visenti kama fifty fifty, kutembea mfukoni mchizi sina hata jiti
So, nyie mnasemaje masela tusake dili tutadaka mahela, yeaaaaaah!
Maseeela!
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni dili masela, Maheeela
Nikamate Mahela, Maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela
Na, na
Sjui nimcheki freddy, bob waziri au mwanangu zizzou sjui nani anipe dili
Tena iwe moja tu yenye akili, ile ya kulala maskini na kuamka tajiri
Nipeni dili nami nitoe mashairi yenye akili ili wenye sigiri wote wakiri
Na kabla ya vocals ni smoke up bob marley kisha nitoe rhymes zenye sumu kali ka rift valley
Na burn copy ka ice cream za Bakhresa, ni'make more money, more dough more pesa {cash}
Na waliozusha, {majombaz wawe teja!} kesha wapange foleni kuja kugombea umeneja {haha}
Na wasionipenda ndo wazidi nichukia, ila dada zao kwenye kona sitoacha kuwabambia hola!
Au mnasemaje masela na dawa yao ni kupata mahela, nipeni dili
Maseeela!
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela, maseela
Nipeni dili masela, Maheeela
Nikamate Mahela, Maseela
Nipeni, nipeni dili masela,
Nipeni dili nikamate mahela
Maseela, maheeela
Maseela, maheeela C'mon
Maseela, maheeela Cowboy
Maseela, maheeela
Maseela, maheeela
 
mie nitamkumbuka kwa ngoma yake ya 'Ghetto Langu',,,hii ngoma Ngwea kabla ajaipeleka radio enzi izo nilikuwa mmoja kati ya watu wa kwanza kabisa kuiskiliza sikuamini kama ingekuwa kubwa kama ilivyokuja kumtoa mazima..

na ile remix ya Clubbin aliyofanya kwa D-money inanikumbusha demu wangu wa udogoni haswa pale anapochana verse ya Joe Burden....RIP NGWEA hadi machozi yananitoka kama naiskia ile sauti yako unamaliza track unasema 'e bwana eeh niko around mazee'
She Got A Gwan Tukae Umo ile pini iliteka IQ yangu yaan ikauchukua Ubongo wangu Den ikaunyongorota venye unapenda Hadi nikachanyanykiwa.Wakat naskia Taarif za kifo chake 4 tha 1st time niko Chuo 1st year kabl cjachang kozi Sikuamn nilimwomb Mungu iwe ni stor za kuzusha Ila daa R.ip cowbama
 
Msela ft.nature &KR jamaa akizungumzia maisha ya uswahilini/duni kwa michano ya level za juu,R.I.P ngwair
 
Dakika Moja - Mangwea (RIP) Ft Noorah(Ameokoka) na Sumalee (Amekuwa Bonge la Ustaadh).

Songi ni mtongozo wa kiutu uzima, ambao hadi leo ukikopa verse huko inaleta matokeo chanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom