matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,960
Mie nitamkumbuka kwa ngoma yake ya 'Ghetto Langu', hii ngoma Ngwea kabla ajaipeleka radio enzi hizo nilikuwa mmoja kati ya watu wa kwanza kabisa kuisikiliza sikuamini kama ingekuwa kubwa kama ilivyokuja kumtoa mazima..
Na ile remix ya Clubbin aliyofanya kwa D-money inanikumbusha demu wangu wa udogoni haswa pale anapochana verse ya Joe Burden....RIP NGWEA hadi machozi yananitoka kama naisikia ile sauti yako unamaliza track unasema 'e bwana eeh niko around mazee'