Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Kuna ngoma alichana verse ya kwanza ambayo alishirikishwa na TMK Wanaume!
Nilizimia sana vile vina hasa alipomtaja Nelly wa Xplastaz!

MTAZAMO inaitwa MSELA yupo na KR na JUMA NATURE bonge la dude..
 
Last edited by a moderator:
Nilibahatika kununua albam ya aka mimi.ikiwa na nyimbo kama.a.k.a mimi. Na mademwangu.mademu wangu mimi nina wazimia nipeni namba zenu ntawapigia sijali zenu tabia bali uzuri wenu tu ndo unaonivutia'🙂s nampenda sana dem wangu wa kizaramo ila tatizo lake kila siku ngomani.nampenda dem wangu wa kihaya wala sito jali wanavyo muita ye malaya.......ila nilipenda ngoma moja

Ya bado nimo ambayo alimshilikisha tid.line kadha.
Nashangaa kwanini watu wengi hawanizimii.
Kama huyu mamaterry siju hanizimii
Kila siku ananiua kwenye magazeti radio sijui anadhani sim sikii
Anauwa jinalangu kwa jamii
Ila nashukuru wabongo wengi hawa sikii
Akafanya mpaka nikakosa dili yeye na hani wake kwa ataili hii
Na kilanikiwavizia wanabana wanatumia zana
Ila kesho nita mtimbia rehema na usipo angalia ujue naludi tena
Kwamakachaa badonimo ila ukinifumbia machotu ujue unajichimbia shimo.R.I.P ALBERT.corusTIDushaniskia kwenye radio bado nimoo nimoo
Usha niona kwenyevideo bado nimoo nimoo
Madawa mengi yanani shindwa mimi badonimoo nimooo.

costerntine hapa alikua anauimbia UKIMWI jamaa mbunifu sana..
 
Last edited by a moderator:
Ghetto langu naizimia hadi kesho,na cnn,km mifuko ndo imejaa zaidi ya atm na tuko high zaidi ya klm,tunakesha km cnn........Rip Homie.
 
Ghetto langu ndo ngoma ilinifanya nianze kupenda bongo fleva ukiongezea na she get a gwan.


....................nami naapa kamwe sintomwacha, nina imani atanizalia mapacha, na hata kwa bahati mbaya akiwa tasa, mi najuwa sintaweza kumwacha na yote ni 7bu tu $h£ g@rr@ gw@n
 
Aaah nyingi sana,kwenye albam yake ya a.k.a mimi karibu zote nazipenda so nashindwa kuchagua moja
 
SHHIIII
KIMYA KIMYA njoo Mbezi kwa kina Mima
Kuna bonge la pati mazee la kimya kimya
Mashori wamedondoka toka state kimya kimya
Ka vp usiage mtu we chomoka kimya kimya...
 
she got a gwan.....daaaa naupenda sana mwimbo huu...yaan nlikuwa naifananisha na ngoma za R Kelly
 
....................nami naapa kamwe sintomwacha, nina imani atanizalia mapacha, na hata kwa bahati mbaya akiwa tasa, mi najuwa sintaweza kumwacha na yote ni 7bu tu $h£ g@rr@ gw@n

then anaendelea oooh babyiiiiiiiiii you are ma' number ooone...... she gat a gwan she gat a gwan.....
 
Amini wote tumezaliwa watupu
na kupata hutokana na juhudi tu za mtu............

says Ngwair
 
mara ya kwana me kuona eastzoo dodoma ghafla nikajiisi mtu mwenye homa. kutoa salam tu jibu lake ni noma,saut tu nikajihisi kama nimepona. man gweir ataendelea kutisha hasa nyimbo kama .singida dodoma,cnn.aka mm.she got gwan,mademu wangu,
 
kuna ngoma kadhaa kama CCN (masista duh wanathamani ya diamond lakini tunawachukua free),SHE PERFORM FT TID,NIPE DILI akika nakumbuka pale bamaga majani alikua anawaita mapacha yeye na jaymoe kwani walikua wana match sana kila wakifanya ngoma lazima ita heat nakumbuka walitunga CHEZA KIDOGO IKIWA KAMA IDEA YAO WAKAMPELEKEA MAJANI NA NGOMA IKATIKI KIAINA YAKE DAH RIP MANGWEA.
 
Gheto langu aisee ndo mpango mzima na alivoshuka verse kwenye kimya kimya. R.I.P Mangwea.
 
Sidhani kama wengi wanaijua,nyimbo inaitwa Clubin rmx ya Marquiz Houston,Ngwair aliifanya kwa kiswahili ilikuwa poa sana.

Pia album nzima ya aka mimi kwangu bado ni the best album in bongo fleva.
 
sio vicent km 50 50 af mchz mfukoni cna hata jiti,kwenda 41 nae anataka mahelaaaaa
dah nipeni deal,she performs na ila anasema hukuepo wakat nazisaka so usinipangie kuspend
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom