Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

Nyimbo ipi ya Ngwea itakayokufanya umkumbuke daima???

niliupenda sana huu wimbo,nilikua na-rewind tape hata 10x,unanihuzunisha unansononesha unapoleat we habar zile,unanihuzunisha unapoleta we habari zile,amani moyoni sinaaa,amani moyoni sinaaa,amani moyon aman moyon,watu wote wanajuaaa,sio tu braza chua,east zuu wanajua kama we ndo unanzingua,samahan dada anomba dk yako moja tu,mi nataka kuongea na wewe

me too nlkua naipenda sana hii nymbo nakumbka enzi za o level watu wanaipaform album nzima but this was ma best song!!!
 
mi ntaikumbuka she got gwan
that was and will always be my favourate,the beat and the everything in it
 
kama kusoma wote ruksa kusomabado biashara hata ufundi wa kushonawenzenu wachache bungeni si mnawaona?hata kuimba imbeni tu msionenomaka Sista P, Zay B, Stara, Ray CJe wataka endesha Prado ka Lady Jay Dee?amini wote tumezaliwa watupuna huvaa ni kutokana tu na juhudi za mtuhollakama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikilizakama ni demu sikiliza, niskize mikama una swali uliza, niulize mihata kama sijamaliza, ah sikilizayep. mia
figganigga naona umeamua kutupa mashairi ya mangweir,
jamaa alikuwa mkali jamani
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Napokea simu au promota anabeep remix Ngwea ft Dully,ngoma mpaka leo naipenda ilifunika mpaka ile ya mkongwa Prof jay
 
Mi naikubali aliyoimba na jide.
"Kama ni demu sikiliza"
"Madem ninyhi nisikilizeni kwa makini,hivi ni kwanini mnakuwa hamjamini?mnajuwa nyie ni mna nguvu zaidi ya sisi,mwanamme kwa dem ni kama mfupa kwa fisi.Sina nia ya kubadili maaadili siyoo,nachopinga nyie kushikwa maskio,sema tu hamjui umuhimu wenu,ila leo ntawaambia,ilimradi iwe siri yenu"

Note:sikiliza na she got a gwan is ma favorites..
 
samahani dada naomba dakika yako moja tu ,nataka kuongea mimi nawe, nataka nikueleze kiasi gani ambacho mii,navyotamani kuwa mimi nawe,ewe dada wee, unanifanya mi nakosa raha, ewe dada wewee unanifanya mi nakosa raha

RIP brother ngwear nilipenda mapini yako yote,the king of freestyle
 
Yote tisa,kumi ni pale alipoitwa kuchukua tuzo ya kili music award ya album bora "mimi",jamaa alitembea na freestyle ya vina vya "ni" "ni" "ni".jamaa ni jembe because ali-cover kote,nyimbo za clubin yupo na hata za kuelimisha.we are the one we are the children
 
R.i.p Mangwea.
Jimbo lilikuwa ni Ghetto only.
Acha kbs na hko kitu.
 
mwenye wimbo wa weekend@by ngwea aniwekee jamani ni udownload au ndani ya klab rmx,msaada jamani.
 
Nyimbo funga kazi ni ile aliyoimba na Steve R&B "kila siku tupo juu,hawawezi gusa moto huu, si si saizi yao! si si saizi yao!"
Kiukweli hili goma ni one of the best clubbing song na bonge moja ya hit yake ya mwisho mwisho flani hivi.
 
Mi msela.kitugani unabana-
Usione tumepinda mingongo ukadhani ni vibiongo pengine ni ufupitu wamlango
Hey darkmasta nitembezee chata
Nipe kipaza niubili kama pastor
Au nelly wa xplastaz
Masela tumechoka usishangae ukija gheto kuna kipisi tu cha mkeka nkishakula mambo yangu nauweka
We chalii kapate bia mimi nipate gongo ili wote tuwe stimu hii ndo life ya kibongo....mimsela.....

Mkuu bonge moja la verse! asante kwa kuirusha.
RIP THE WORLD KING OF SWAHILI HIP HOP FREE STYLE
 
Gheto langu noma balaaaaaaaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom