Nyeti za siri zinapochafukwa

Nyeti za siri zinapochafukwa

Mji mzito sana huu

Sir buyer hakuimbiwa parapanda, sasa limezukwa jipya.

Nyeti lazima ziwe za siri, hata zikichafukwa hazianikwi upenuni, labda zioze na kutoa uvundo mkali, lakini bado unaweza kuziswafi na tindikali kisha ukazihifadhi kwenye jokofu lililogandama kipupwe cha nyuzi baridi centigrade hasi 100.

Mji mzito sana huu. Kuna tafauti ndogo sana kati ya hasidi na hashua, japo kinyume chake kina kima cha kipenyo
Kama pembe la moo halifichiki, basi usijifanye kwio mbuni kufutika medulla ardhini ili kujikinga na hadhira isikutie machoni.

Mji mzito kwelikweli

Nyeti za siri zimeshaanza kudoda, kila mtu anatamba na kikingio chake. Hivi kudoda na kuvuja vinashabihiana ama kibantu kina maingiliano? Kwasababu tundu na tobo vinafanana lakini havishabihiani.

Je, uwazi nao ni tundu au ni tobo? Ama ni kipenyo?

Kipenyo penye uwazi, mwanya? Hupenyeza panapopenyeka na waja hupenyezeana. Wengine hupenyana
Bado tu utajinasibu na nyeti za siri?

Hivi hizi ni fununu ama ni tetesi au ni minong'ono?

Penye fununu hufunuliwa, penye minong'ono hunong'onwa, penye tetesi je? Panatestiwaa.

Nyatunyatu huleta kimuhemuhe kama kilivyo kisebubu japo hiki ni kiroho papo. Sio kiroho paaa, hiyo itakuwa blinking news! Habari za kumweka mweka

Mma yana hulka moja; hayazuiliki. Unaweza kuyakinga lakini si kuyazuia lazima yatatafuta upenyo yapenye. Na hata kama utayakinga yana kima chake. Yakizidi kima yatapasua na kuvunja kingo, na madhara yatakuwa kwa wengine wengi.

Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!

Wakulaumiwa atakuwa nani?

Lisemwalo lipo kama halipo haliwezi kusemwa asilani.
🙏 🙏 🙏 ❣️
 
Hapana mkuu wangu Duduvwili nimemkumbuka tu mwalimu wangu wa fasihi chuoni na tamathali za semi..
Tamshi ni kama risasi kwenye bunduki...risasi haina kinyume(rivasi) hivyo ni bora tukachunga ndimi zetu hata kama hakuna malisho...kwakuwa vifanyio vyetu, vile ambavyo vikiona vifuniko vya asali husimama Dede kama kangaroo ni bora sana kuliko hizi nyepesi nyepesi zisizo na wepesi
Nimekusoma vema mkuu Mshana ila kuna kitu nahisi japo kama unavyosema kutunza hizi nyepesi nyepesi ni vizuri zaidi naomba iwe hivyo kweli pengine inaweza kuokotwa mana Jangwani
 
Mji mzito sana huu

Sir buyer hakuimbiwa parapanda, sasa limezukwa jipya.

Nyeti lazima ziwe za siri, hata zikichafukwa hazianikwi upenuni, labda zioze na kutoa uvundo mkali, lakini bado unaweza kuziswafi na tindikali kisha ukazihifadhi kwenye jokofu lililogandama kipupwe cha nyuzi baridi centigrade hasi 100.

Mji mzito sana huu. Kuna tafauti ndogo sana kati ya hasidi na hashua, japo kinyume chake kina kima cha kipenyo
Kama pembe la moo halifichiki, basi usijifanye kwio mbuni kufutika medulla ardhini ili kujikinga na hadhira isikutie machoni.

Mji mzito kwelikweli

Nyeti za siri zimeshaanza kudoda, kila mtu anatamba na kikingio chake. Hivi kudoda na kuvuja vinashabihiana ama kibantu kina maingiliano? Kwasababu tundu na tobo vinafanana lakini havishabihiani.

Je, uwazi nao ni tundu au ni tobo? Ama ni kipenyo?

Kipenyo penye uwazi, mwanya? Hupenyeza panapopenyeka na waja hupenyezeana. Wengine hupenyana
Bado tu utajinasibu na nyeti za siri?

Hivi hizi ni fununu ama ni tetesi au ni minong'ono?

Penye fununu hufunuliwa, penye minong'ono hunong'onwa, penye tetesi je? Panatestiwaa.

Nyatunyatu huleta kimuhemuhe kama kilivyo kisebubu japo hiki ni kiroho papo. Sio kiroho paaa, hiyo itakuwa blinking news! Habari za kumweka mweka

Mma yana hulka moja; hayazuiliki. Unaweza kuyakinga lakini si kuyazuia lazima yatatafuta upenyo yapenye. Na hata kama utayakinga yana kima chake. Yakizidi kima yatapasua na kuvunja kingo, na madhara yatakuwa kwa wengine wengi.

Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!

Wakulaumiwa atakuwa nani?

Lisemwalo lipo kama halipo haliwezi kusemwa asilani.
Mtangazi wa wasafi na msemaji mkuu wa wekundu wa msimbazi
 
Nimekusoma vema mkuu Mshana ila kuna kitu nahisi japo kama unavyosema kutunza hizi nyepesi nyepesi ni vizuri zaidi naomba iwe hivyo kweli pengine inaweza kuokotwa mana Jangwani
Mana jangwani!? Hii inaweza kuwa nyota ya jaha...!!! Inshallah tuzidi kumuomba yeye aliye mkuu kuzidi sote sisi...
 
giphy.gif

🙄🙄
 
Amna kitu,kapumzika kwa muda,tena ameonekana akiwa amevaa rabazake za adidas.
 
Mji mzito sana huu

Sir buyer hakuimbiwa parapanda, sasa limezukwa jipya.

Nyeti lazima ziwe za siri, hata zikichafukwa hazianikwi upenuni, labda zioze na kutoa uvundo mkali, lakini bado unaweza kuziswafi na tindikali kisha ukazihifadhi kwenye jokofu lililogandama kipupwe cha nyuzi baridi centigrade hasi 100.

Mji mzito sana huu. Kuna tafauti ndogo sana kati ya hasidi na hashua, japo kinyume chake kina kima cha kipenyo
Kama pembe la moo halifichiki, basi usijifanye kwio mbuni kufutika medulla ardhini ili kujikinga na hadhira isikutie machoni.

Mji mzito kwelikweli

Nyeti za siri zimeshaanza kudoda, kila mtu anatamba na kikingio chake. Hivi kudoda na kuvuja vinashabihiana ama kibantu kina maingiliano? Kwasababu tundu na tobo vinafanana lakini havishabihiani.

Je, uwazi nao ni tundu au ni tobo? Ama ni kipenyo?

Kipenyo penye uwazi, mwanya? Hupenyeza panapopenyeka na waja hupenyezeana. Wengine hupenyana
Bado tu utajinasibu na nyeti za siri?

Hivi hizi ni fununu ama ni tetesi au ni minong'ono?

Penye fununu hufunuliwa, penye minong'ono hunong'onwa, penye tetesi je? Panatestiwaa.

Nyatunyatu huleta kimuhemuhe kama kilivyo kisebubu japo hiki ni kiroho papo. Sio kiroho paaa, hiyo itakuwa blinking news! Habari za kumweka mweka

Mma yana hulka moja; hayazuiliki. Unaweza kuyakinga lakini si kuyazuia lazima yatatafuta upenyo yapenye. Na hata kama utayakinga yana kima chake. Yakizidi kima yatapasua na kuvunja kingo, na madhara yatakuwa kwa wengine wengi.

Hebu tufanyeni kikowa na kulimaliza hili lisifutikwe mchagoni, ndimi hazitatulia na midomo haitapumbaa....! na ndimi zisipotulia mafikara yataundiwa uhalisia kisha midomo itaropoka ropo!

Wakulaumiwa atakuwa nani?

Lisemwalo lipo kama halipo haliwezi kusemwa asilani.
Legendary Mshana Jr....fasihi imefasihika..nyetika zinaenda nyetika..zikinyitika Jina hubadirika na kuwa Nyeto....
 
zikinyitika Jina hubadirika na kuwa Nyeto....[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom